johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,924
- 141,891
Mikutano ya kisiasa kwa sasa haifanyiki, ofisi ya makao makuu ya CHADEMA wote tunaijua na gharama za kuihudumia haizidi 10 mil, viofisi vya mikoani vinajulikana havina hata watumishi.
Ruzuku ya CHADEMA inafanya kazi gani hadi wakose fedha za kumlipia Tundu Lissu matibabu yake?
Na huyu Msigwa amenukuliwa na gazeti la Mwananchi kwamba chama kinatafuta sh 550 mil ili wakodi ndege ya kumpeleka Lissu Marekani katumwa na nani mbona tumeambiwa Nyalandu amesema madaktari wamesema Lissu hawezi kusafirishwa kwa sasa kutokana na hali yake! Tuache mambo ya kutafuta fursa kupitia afya za watu, CHADEMA tumieni fedha ya ruzuku ya September kumtibia Lissu fullstop!!