Je, ni kweli CHADEMA hawana fedha za kulipia matibabu ya Lissu?

Hatukatai watu kuchangia, tunachohoji ni chama kimetoa kiasi gani kufanikisha matibabu ya Lissu?!! Najua wewe ni mjumbe pale Ufipa unaweza kulisemea hili!
Afu ukishajua utafaidika na nini. Pilipili iko shamba we inakuwashia nini?

Mi si muumini wa lichama lolote la siasa. Mi ni mwanachama wa Simba Sports Club peke yake.
 
CHADEMA wawe na pesa ya kumtibu Lissu au wasiwe nayo, lazima ujue kucheza karata zako za siasa kwa kutumia akili..

(Ndio maana hapo Mtaa wa Lumumba pataendelea kuwa kiwanda cha kuzalisha wapumbavu milele..)

Tukio la Lissu limemgusa kila mtanzania so CHADEMA wakisema watu wachange zitachangwa pesa nyingii tu kama njia mojawapo ya kupinga hili tukio la kidhalimu ambalo suspect ni serikali..

CHADEMA hata kama kusingekuwa na mchangaji, Lissu angetibiwa tu kwa gharama yoyote ile na mahali popote pale duniani. Ila kama njia ya kuionyesha serikali jinsi watu walivyochukizwa na unyama aliofanyiwa Lissu wanawaambia watu wachange, na watu wanachanga bila kulalamika..

Na hili la watu kuchanga linawaudhi sana serikali na CCM ila hamna jinsi la kulizuia..

Jiongeze kidogo kichwani.
Mbona walishasema zichangwe na hazijachangwa? Mmeshtukiwa, mnapiga kupitia Lissu. Mnachanga karata ya kisiasa kupitia mtu kujeruhiwa? Kweli mmechoka
 
Mikutano ya kisiasa kwa sasa haifanyiki, ofisi ya makao makuu ya CHADEMA wote tunaijua na gharama za kuihudumia haizidi 10 mil, viofisi vya mikoani vinajulikana havina hata watumishi.

Ruzuku ya CHADEMA inafanya kazi gani hadi wakose fedha za kumlipia Tundu Lissu matibabu yake?

Na huyu Msigwa amenukuliwa na gazeti la Mwananchi kwamba chama kinatafuta sh 550 mil ili wakodi ndege ya kumpeleka Lissu Marekani katumwa na nani mbona tumeambiwa Nyalandu amesema madaktari wamesema Lissu hawezi kusafirishwa kwa sasa kutokana na hali yake! Tuache mambo ya kutafuta fursa kupitia afya za watu, CHADEMA tumieni fedha ya ruzuku ya September kumtibia Lissu fullstop!!
Kwa nini serikali ya ccm haikutumia fedha za mfuko wa maafa kuwasaidia waathirika wa tetemeko la bukoba,Badala yake wakatumia fedha zilizochangwa na wananchi?.......Tafakari kwanza
 
Mungu ampe nafuu Lissu ili mtumishi wake Lazaro aweze kumpeleka Marekani!! Hawa Chadema wamsapoti Nyalandu ktk utaratibu huo wa kumhamishia Lissu Marekali waache kukomalia bakuli tu!
Wanaangalia maslahi ya kisiasa zaidi kuliko matibabu ya Lissu...
 
Mikutano ya kisiasa kwa sasa haifanyiki, ofisi ya makao makuu ya CHADEMA wote tunaijua na gharama za kuihudumia haizidi 10 mil, viofisi vya mikoani vinajulikana havina hata watumishi.

Ruzuku ya CHADEMA inafanya kazi gani hadi wakose fedha za kumlipia Tundu Lissu matibabu yake?

Na huyu Msigwa amenukuliwa na gazeti la Mwananchi kwamba chama kinatafuta sh 550 mil ili wakodi ndege ya kumpeleka Lissu Marekani katumwa na nani mbona tumeambiwa Nyalandu amesema madaktari wamesema Lissu hawezi kusafirishwa kwa sasa kutokana na hali yake! Tuache mambo ya kutafuta fursa kupitia afya za watu, CHADEMA tumieni fedha ya ruzuku ya September kumtibia Lissu fullstop!!
Wewe hujitambuwi,isitoshe unapiga kelele wakati hujatoa hata sh.mia yako.Jambo jingine linalosababisha habari yako ionekane ni yakipuuzi ni pale uliposhindwa kutaja Matumizi ya kawaida ya chadema kwa mwezi,na ruzuku yao kwa mwezi,pia umeshindwa kueleza kesi za viongozi wa chadema zinagharimu shilingi ngapi.Jambo ambalo hujafanyia utafiti yakinifu usiliongelee,vinginevyo utakuwa ni MTU mwenye fikra nyepesi.
 
Ndungai alivyoenda kutibiwa India kwa gharama ya serikali... ni kwamba CCM haikuwa na hela?

Hivi huko shule mmenda kusomea ujinga?
Chadema si walikataa pesa kutoka serikalini mkuu? Walijua watakosa kupiga pesa ndio wakaanzisha movement yao kwamba hawana imani na serikali na walisema ulinzi kwa Lissu utakuwa mdogo Kumbe ilikuwa janja ya nyani.
 
Hii inashangaza sana. Kama wamekosa pesa lakini wanachama wao wanawachangia kiroho safi... kwanini wengine wawashwe? Si muwaache wafanye yao?

Kiherehere cha nini?
 
Nashangaa polisi wameshindwa kuwakamata waliomshabulia Lisu wakati wapo humu JF,na wanashinda wanaweweseka wenyewe baada yakusomewa albadiri.
 
CHADEMA wawe na pesa ya kumtibu Lissu au wasiwe nayo, lazima ujue kucheza karata zako za siasa kwa kutumia akili..

(Ndio maana hapo Mtaa wa Lumumba pataendelea kuwa kiwanda cha kuzalisha wapumbavu milele..)

Tukio la Lissu limemgusa kila mtanzania so CHADEMA wakisema watu wachange zitachangwa pesa nyingii tu kama njia mojawapo ya kupinga hili tukio la kidhalimu ambalo suspect ni serikali..

CHADEMA hata kama kusingekuwa na mchangaji, Lissu angetibiwa tu kwa gharama yoyote ile na mahali popote pale duniani. Ila kama njia ya kuionyesha serikali jinsi watu walivyochukizwa na unyama aliofanyiwa Lissu wanawaambia watu wachange, na watu wanachanga bila kulalamika..

Na hili la watu kuchanga linawaudhi sana serikali na CCM ila hamna jinsi la kulizuia..

Jiongeze kidogo kichwani.
Mpk ss ww ushachanga shilingi ngapi?
 
Wewe hujitambuwi,isitoshe unapiga kelele wakati hujatoa hata sh.mia yako.Jambo jingine linalosababisha habari yako ionekane ni yakipuuzi ni pale uliposhindwa kutaja Matumizi ya kawaida ya chadema kwa mwezi,na ruzuku yao kwa mwezi,pia umeshindwa kueleza kesi za viongozi wa chadema zinagharimu shilingi ngapi.Jambo ambalo hujafanyia utafiti yakinifu usiliongelee,vinginevyo utakuwa ni MTU mwenye fikra nyepesi.
Wewe ndio huna fikra kabisa, nimekuambia matumizi ya ofisi pale ufipa hayazidi sh 10 mil kwa mwezi na zaidi ya ufipa Chadema wana ofisi wapi? Na hizo kesi wakili wenu si ndiye huyohuyo Lissu?!! Kama huwa mnamlipa na hamdaiani basi mkopesheni ili apate kutibiwa, vinginevyo ipokeeni offer ya Ummy kwa mikono miwili. Acheni mambo yenu bhana Tundu anateseka!
 
Hivi CCM walikuwa hawana pesa za kuwatibu Wabunge na Mawaziri wake nje ya nchi hadi wachote toka hazina!?

Mikutano ya kisiasa kwa sasa haifanyiki, ofisi ya makao makuu ya CHADEMA wote tunaijua na gharama za kuihudumia haizidi 10 mil, viofisi vya mikoani vinajulikana havina hata watumishi.

Ruzuku ya CHADEMA inafanya kazi gani hadi wakose fedha za kumlipia Tundu Lissu matibabu yake?

Na huyu Msigwa amenukuliwa na gazeti la Mwananchi kwamba chama kinatafuta sh 550 mil ili wakodi ndege ya kumpeleka Lissu Marekani katumwa na nani mbona tumeambiwa Nyalandu amesema madaktari wamesema Lissu hawezi kusafirishwa kwa sasa kutokana na hali yake! Tuache mambo ya kutafuta fursa kupitia afya za watu, CHADEMA tumieni fedha ya ruzuku ya September kumtibia Lissu fullstop!!
 
Hivi CCM walikuwa hawana pesa za kuwatibu Wabunge na Mawaziri wake nje ya nchi hadi wachote toka hazina!?
Hivi kwani serikali ilikataa kumtibia Lissu hadi Chadema wakaamua kumpeleka Agakhan hospital ya Nairobi?!!
 
Tia akili kichwani wewe! Sala za maombi kwanini zilipigwa marufuku? Kuvaa fulana za pray for Lissu kwanini ni marufuku. Serikali ilikuwa wapi kutoa tamko hadi hii leo? Tena bado wanataka familia iandike barua ya maombi kutibiwa!!!! Hivi familia ya ndugai iliandika barua ya maombi!? Acheni upumbavu wenu!

Hivi kwani serikali ilikataa kumtibia Lissu hadi Chadema wakaamua kumpeleka Agakhan hospital ya Nairobi?!!
 
CHADEMA wawe na pesa ya kumtibu Lissu au wasiwe nayo, lazima ujue kucheza karata zako za siasa kwa kutumia akili..

(Ndio maana hapo Mtaa wa Lumumba pataendelea kuwa kiwanda cha kuzalisha wapumbavu milele..)

Tukio la Lissu limemgusa kila mtanzania so CHADEMA wakisema watu wachange zitachangwa pesa nyingii tu kama njia mojawapo ya kupinga hili tukio la kidhalimu ambalo suspect ni serikali..

CHADEMA hata kama kusingekuwa na mchangaji, Lissu angetibiwa tu kwa gharama yoyote ile na mahali popote pale duniani. Ila kama njia ya kuionyesha serikali jinsi watu walivyochukizwa na unyama aliofanyiwa Lissu wanawaambia watu wachange, na watu wanachanga bila kulalamika..

Na hili la watu kuchanga linawaudhi sana serikali na CCM ila hamna jinsi la kulizuia..

Jiongeze kidogo kichwani.
Kwa hiyo mkuu ni kweli kwamba CHADEMA wanaitumia hii Kama fursa japo si fursa ya kiuchumi bali fursa ya kisiasa ambayo ndio primary lakini fursa ya uchumi nayo inajitokeza tu Kama by product.
 
Tia akili kichwani wewe! Sala za maombi kwanini zilipigwa marufuku? Kuvaa fulana za pray for Lissu kwanini ni marufuku. Serikali ilikuwa wapi kutoa tamko hadi hii leo? Tena bado wanataka familia iandike barua ya maombi kutibiwa!!!! Hivi familia ya ndugai iliandika barua ya maombi!? Acheni upumbavu wenu!
Matusi hayatakusaidia chochote! Je unazijua procedure za kufuata kabla mgonjwa hajapelekwa nje ya nchi kwa matibabu? Tangu Lissu alazwe Nairobi umemsikia Mbowe akiilalamikia serikali kushindwa kulipia matibabu ya Lissu Nairobi? Kama una akili timamu unashindwa kujiuliza kwanini KUB halalamiki?!! Unajua kuwa anayetoa kibali cha mgonjwa kugharamiwa na serikali matibabu nje nchi alikuwa ni miongoni mwa jopo la madaktari waliomfanyia Lissu upasuaji pale Dodoma? Yote kwa yote serikali sasa iko tayari kugharamia matibabu ya Lissu popote pale duniani, unasemaje?!!!!
 
Ila kutukanwa wastaafu ni sawa siyo!?

Matusi hayatakusaidia chochote! Je unazijua procedure za kufuata kabla mgonjwa hajapelekwa nje ya nchi kwa matibabu? Tangu Lissu alazwe Nairobi umemsikia Mbowe akiilalamikia serikali kushindwa kulipia matibabu ya Lissu Nairobi? Kama una akili timamu unashindwa kujiuliza kwanini KUB halalamiki?!! Unajua kuwa anayetoa kibali cha mgonjwa kugharamiwa na serikali matibabu nje nchi alikuwa ni miongoni mwa jopo la madaktari waliomfanyia Lissu upasuaji pale Dodoma? Yote kwa yote serikali sasa iko tayari kugharamia matibabu ya Lissu popote pale duniani, unasemaje?!!!!
 
CHADEMA wawe na pesa ya kumtibu Lissu au wasiwe nayo, lazima ujue kucheza karata zako za siasa kwa kutumia akili..

(Ndio maana hapo Mtaa wa Lumumba pataendelea kuwa kiwanda cha kuzalisha wapumbavu milele..)

Tukio la Lissu limemgusa kila mtanzania so CHADEMA wakisema watu wachange zitachangwa pesa nyingii tu kama njia mojawapo ya kupinga hili tukio la kidhalimu ambalo suspect ni serikali..

CHADEMA hata kama kusingekuwa na mchangaji, Lissu angetibiwa tu kwa gharama yoyote ile na mahali popote pale duniani. Ila kama njia ya kuionyesha serikali jinsi watu walivyochukizwa na unyama aliofanyiwa Lissu wanawaambia watu wachange, na watu wanachanga bila kulalamika..

Na hili la watu kuchanga linawaudhi sana serikali na CCM ila hamna jinsi la kulizuia..

Jiongeze kidogo kichwani.
Tatizo hamfikikishi hata robo ya pesa ya matibabu kwa siku..mngekuwa mnafikisha hata nusu mbona kina mbowe wasingepiga kelele kila siku..maana walishaongea na kilichobakia ni flow ya pesa kila siku kuingia bila kukumbushana kama kweli mna mapenzi mema..lakini Hamna kitu..kelele nyingiii..kwa wiki michango haifiki hata mil 5
 
Back
Top Bottom