Je ni kweli awa viumbe wapo..

Je ni kweli awa viumbe wapo..

Marmaids au Pweza..
ce96eed9ef8f1b2671b735d22357f2dd.jpg

Nijuzeni wakuu..
Sasa mbona kile kitundu pendwa hakionekani hapo chini ya kitovu?
 
Hao viumbe walikuwepo ila zamaani sana sasa hivi hamna na kama wanaonekana ni kwa nadra mnooooo, uchafuzi wa mazingira kunakimbiza viumbe vingi tu, hao story zao ni nyingi sana hata kunyonyesha wanapenda nyonyesha juu ya mawe, anaitwa NGUVA, Huo utafiti wenu wa mpaka kwenye mawe mnawakimbiza pia mkiacha uvuvi gharam ndo kabsaaa wanakimbilia mbali kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. miaka ya nyuma aliwahi onekana Somalia nenda google pia nao walkuta maiti tayari.
Kuna viumbe wengine ni stori tu,hakuna kitu kama hicho,marmeid,medusa,dragon na yule mwenye umbo la farasi lakin ana kichwa cha binadamu,wako wengi
 
Kuna viumbe wengine ni stori tu,hakuna kitu kama hicho,marmeid,medusa,dragon na yule mwenye umbo la farasi lakin ana kichwa cha binadamu,wako wengi
dragon na nguva ni kweli.
 
Hata picha sijawahi kuta kiumbe mwanamme kama huyu kwanini?
 
Back
Top Bottom