Je ni kweli awa viumbe wapo..

Nikhil

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
363
225
Hakuna kitu kama hicho.
Mpaka ana jina kaka unasema hayupo yupo kaka..
Zamani nilipigiwa stori na babu kuwa wanatabia yakutoka kuota jua kwenye mawe makubwa huku wakichana nywele zao. Kama ikatokea akasahau kitana chake ukakipata aisee atakutafuta kwenye ndoto ukimpe...
Unajua baada ya kumpa unakuwaje?
TAJIRI BALAA
 
asmaa80

JF-Expert Member
May 11, 2010
1,567
2,000
Hao viumbe walikuwepo ila zamaani sana sasa hivi hamna na kama wanaonekana ni kwa nadra mnooooo, uchafuzi wa mazingira kunakimbiza viumbe vingi tu, hao story zao ni nyingi sana hata kunyonyesha wanapenda nyonyesha juu ya mawe, anaitwa NGUVA, Huo utafiti wenu wa mpaka kwenye mawe mnawakimbiza pia mkiacha uvuvi gharam ndo kabsaaa wanakimbilia mbali kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. miaka ya nyuma aliwahi onekana Somalia nenda google pia nao walkuta maiti tayari.
 
vCTRMA

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
306
225
hizo huwa ni story za kufikilika2........
hamna kitu kma hivo duniani,...vilitungwa watu wanaonekane wanajua2 baas............
hamna hivyo vitu
 
Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,401
2,000
Mpaka ana jina kaka unasema hayupo yupo kaka..
Zamani nilipigiwa stori na babu kuwa wanatabia yakutoka kuota jua kwenye mawe makubwa huku wakichana nywele zao. Kama ikatokea akasahau kitana chake ukakipata aisee atakutafuta kwenye ndoto ukimpe...
Unajua baada ya kumpa unakuwaje?
TAJIRI BALAA
Ahahaaaaaa, babu yako ni Ukawa eeeh!!
Aya sawa basi yupo...
Go @Magufuli go, ulipo tupo.
 
Top Bottom