Imepita yapata kama miez 2 toka nimutongoze na akanikubalia lakini chakushangaza ananiambia kwamba yeye ni bikira so hawezi kuja kufanya mapenz kamwe maishani.nikimuuliza hasa 2takuwa 2naishi hivi hivi kama m2 na kaka mpaka lini?anachonijibu ni kwamba kuwa na mpenz si kwamba lazima ufanye mapenzi pia si lazima uolewe.nikamuuliza tena so unamaanisha hutaki kuja kuolewa?anajibu ndio sijikuolewa kamwe tena anasisitiza...sasa wasi wasi wangu je pana ukwel wowote juu yamaneno yake au ananizuga atakuja kunipa ki2.pia kama ndo msimamo wake ndo huwo ni kweli kuna mapenz kama hayo au napigwa changa la macho?naomba msaada