Je, ni kwanini ndege hazina air bags?

Je, ni kwanini ndege hazina air bags?

Zingesaidia sana kwenye crash landing, na ni kwanini kila seat zisifungwe auto ejectors zenye parachute kama fighter jets za F-16?
kwa hilo LA parachute lingesaidia japo kidogo kwa baadhi ya ajali za Ndege.
Lakini kumbuka pia ajali nyingi za Ndege zinatokea ghafla sana,,yaani ndani ya DKK chache kitu kilichalipuka
 
kwa hilo LA parachute lingesaidia japo kidogo kwa baadhi ya ajali za Ndege.
Lakini kumbuka pia ajali nyingi za Ndege zinatokea ghafla sana,,yaani ndani ya DKK chache kitu kilichalipuka
Sina tatizo sana na hizo za ghafla, mbaya ni hizo za kufa huku mnajiona
 
Airbags ni sababu ya kugongana
Ndege hazigingani
 
Ainisha ni aina gani ya ndege? Kama passanger vehicle kuwa na airbags naona makampuni ya uundaji ndege wameona hayana umuhimu kwa sababu ajari ya ndege huwezi kuzuia madhara sababu ndege huanguka na si kugongana kama zilivyo gari na train. Na kwa crash landing nayo haita faa pia.
 
Kuna ajali moja jamaa alivyoona wanaanguka, akaamua kujizungushia na mito ya kwenye seat, walivyo-crash land wengi walikuwa na majeraha ya ajabu na wengine walikufa, ila yeye ile mito ilimkinga na impact na akapona
 
Kuhusu parachuti, ajali nyingi zinatokea baharini kwahiyo parachuti itawachelewesha tu nyangumi kukushughulikia ila mwisho wa siku lazima wakupe stahiki zako (just kidding)

Lakini, wangeweka parachuti mbona tungekuwa tunaspend weeks za training ya kupaa kabla ya kusafiri!!
 
Passenger flight sometimes huruka 2000 feet kutoka sea level kule hata hewa yake ni nzito...unaanzaje kushuka na huenda ukiufungua huo mwamvuli huenda ukapasuka vipande vipande...speed ya ndege hapo ni 780 au 820 kmph

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ajali moja jamaa alivyoona wanaanguka, akaamua kujizungushia na mito ya kwenye seat, walivyo-crash land wengi walikuwa na majeraha ya ajabu na wengine walikufa, ila yeye ile mito ilimkinga na impact na akapona
Movie unaleta huku
 
Passenger flight sometimes huruka 2000 feet kutoka sea level kule hata hewa yake ni nzito...unaanzaje kushuka na huenda ukiufungua huo mwamvuli huenda ukapasuka vipande vipande...speed ya ndege hapo ni 780 au 820 kmph

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
lakini poa hiyo parachute ili iwe ejected na kumfanya mtu afloat ni lazima itoke ndani ya Cabin ya ndege which is impossible.

maana ukipaa huko zirukako ndege pressure ya nje inakuwa nyingi zaidi kuliko ya ndani to the extent hata ukiwa ndani ya ndege hauwezi kufungua mlango wa ndege.

uki eject parachute itatokea wapi? maana outside kuna high pressure. Pia at high altitude kuna very low oxygen. ukiruhusu hewa iingie ndani ya cabin ni suala la sekunde kadhaa tu watu wata suffocate na ku loose consciousness.
 
Kuruka na parachute inahitaji mafunzo tena kwa masaa mengi tu hayo mafunzo yani siyo ya siku moja, sasa hebu fikiri ndege inatakriban watu 300 na kitu, hivi hizo training watazipata wapi na muda gani wakati kuna wengine hata kuona parachute waliishia kuliona kwenye muvi za Rambo, lazima ufahamu namna ya kutua la sivyo nakuhakikishia unavunjika mgongo na kiuno vibaya mnoooo...haya sasa jingine linaloleta ugumu ni namna ya kutoka kwenye hiyo ndege kuruka angani, hebu fikiria let say mpo 250 kwenye ndege imagine mtakavyogongana hapo ndani ya ndege ili kila mtu aruke na hata kama ikitokea kwa maajabu mkaruka wote hebu imagine huo mgongano huko angani coz mtakuwa wengi Kama mbayuwayu waliokosa direction,naamini kutakuwa na watu kibao watakaokuwa wamepanic kutokana na mtafaruku huo so hawataweza hata kunyanyuka zaidi ya kusubiri kufa tu, hata parachute nazo zina uzito fulani hivi mkubwa tu hebu imagine tena kwa watu abiria Kama 200 hivi kutakuwa na kilo nyingi sana zitakazozidi...in short kuna Mambo mengi mno ya kuangalia, labda kwa miaka ijayo ila kwa sasa daaah mana la sivyo ukifanya mchezo mnakufa bila hata kuomba kwa mungu akukaribishe mbinguni vizuri kwa kuishia kuparamia maparachute, imagine watt wadogo,wazee,wagonjwa hali zao zitakuwaje na kuvaa hayo madude.
 
Back
Top Bottom