Je, ni kwanini kila anaeanzisha biashara ya daladala lazima ife na afilisike?

Hiyo biashara kuna Jamaa kaimundu kitambo ana jina la mchezaji wa zamani wa intarmilan. Ila ana uza Na sembe anamiliki punda kibao. Mkuu alivyo ingia mjengoni alipata misukosuko ila akatoka huko kwenye dalaldala ndiko ana takatisha hela ya sembe. Wengine wanakuja na kupotea
 
Hivi hii biashara ya daladala inachangamoto zipi hasa hadi kupeleke wamiliki wake kuamua kuyauza baada ya muda ili kuepuka kufilisika, nilitaka ninunue walau 2 nione inakuaje, lakini nakatishwa tamaa ninapoona biashara hizi huwa zinafilisi watu
Kama huna uzoefu nayo au huna msimamizi wa kueleweka hiyo hela yako bora ujenge nyumba upangishe biashara ya magari ni pasua kichwa
 
KWANZA KABISA NINGEKUSHAURI UACHE UWOGA KATIKA KILA JAMBO UNALOLIFIKIRIA KWENYE MAISHA YAKO...!!! biashara ya daladala ni miongoni mwa biashara nzuri sana na yenye utajiri wa mapema sana,kwasababu zifuatazo..

1.haitegemei msimu wa jua wala mvua,yani daily abiria wapo online..

2.inakupa uwanja mpana wa machaguo katika biashara,maana yake unaweza kuchagua route unayoona ni bora kwako,chaguo lingine kwenye nani umuajiri maana ni kazi/biashara yenye a large number of candidates...tuache hayo machaguo maana yapo mengi sana...

3.pia uendeshaji wake hiyo biashara hauitaji elimu kubwa saaana kama biashara zingine...4.ni biashara kongwe mnoo na inategemewa sana....sababu zipo nyingi sana za kukupa moyo na imani ya kufanya biashara hiyo....CHA MUHIMU NI KUJIPANGIA MUDA/LIFE SPAN YA DALADALA ZAKO KUWEPO BARABARANI,YOU MAY CHOOSE TO SELL IT labda kila baada ya miaka 2 au 2.5 then you buy nyingine,hivyo hivyo inakua ndio utaratibu wako...nakuhakikishia kwa mapenzi ya mungu utakuja kusema nilikua wapi miaka yote hiyo!!!
 
Wear and tear kwenye daladala ni kubwa sana so itabidi uweke fungu la repair kila uchwao na baada ya muda flani inakuwa out of fashion inabidi uuze kisha nunua nyngne. Ukiwa na going concern huwezi kufeli
 
Hivi hii biashara ya daladala inachangamoto zipi hasa hadi kupeleke wamiliki wake kuamua kuyauza baada ya muda ili kuepuka kufilisika, nilitaka ninunue walau 2 nione inakuaje, lakini nakatishwa tamaa ninapoona biashara hizi huwa zinafilisi watu
KWANZA KABISA NINGEKUSHAURI UACHE UWOGA KATIKA KILA JAMBO UNALOLIFIKIRIA KWENYE MAISHA YAKO...!!! biashara ya daladala ni miongoni mwa biashara nzuri sana na yenye utajiri wa mapema sana,kwasababu zifuatazo..1.haitegemei msimu wa jua wala mvua,yani daily abiria wapo online..2.inakupa uwanja mpana wa machaguo katika biashara,maana yake unaweza kuchagua route unayoona ni bora kwako,chaguo lingine kwenye nani umuajiri maana ni kazi/biashara yenye a large number of candidates...tuache hayo machaguo maana yapo mengi sana...3.pia uendeshaji wake hiyo biashara hauitaji elimu kubwa saaana kama biashara zingine...4.ni biashara kongwe mnoo na inategemewa sana....sababu zipo nyingi sana za kukupa moyo na imani ya kufanya biashara hiyo....CHA MUHIMU NI KUJIPANGIA MUDA/LIFE SPAN YA DALADALA ZAKO KUWEPO BARABARANI,YOU MAY CHOOSE TO SELL IT labda kila baada ya miaka 2 au 2.5 then you buy nyingine,hivyo hivyo inakua ndio utaratibu wako...nakuhakikishia kwa mapenzi ya mungu utakuja kusema nilikua wapi miaka yote hiyo!!!
 
TRUE TO THE FAITH.......MASAAMBELE
 
Upo sahihi kabisa mkuu kufilisika kwny biashara inachangiwa na mamb mengi tu ila kanun ya biashara ni gain na lose so pambana
 
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha. Kila jambo lina mwisho wake! Sasa unataka iishi miaka mingapi?!
 
Biashara ya daladala ukiifanya kistaarabu inavyotakiwa in hasara.Nauli sio realistic zimepangwa kisiasa kuwafurahisha wananchi.Serikali inammudu kuthibiti nauli lkn sio bei ya mafuta na vipuli hivyo gharama za uendeshaji zipo juu sana. Wamiliki ili wapate faida wanaifinyanga biashara utaona hakuna ajira Ila hesabu ya siku, kujaza abiria kuliko kiwango,kutozingatia sheria za barabarani ili trip ziwe nyingi, konda na dreva kufanya kazi masaa mengi dei worker nk Jiulize ni sawa nauli ya daladala kuwa ndogo kuliko hata bei ya maji au soda, MTU anatoka Tegeta mpaka Mbagala kwa nauli ambayo haifiki hata elfu moja.Hata Mwendo kasi wasiporuhusiwa kutoza nauli zinazokidhi gharama baada ya muda watafilisika au ndio kama hivyo tumeanza kusikia malalamiko ya kujaza kupita kiasi
 
Hivi hii biashara ya daladala inachangamoto zipi hasa hadi kupeleke wamiliki wake kuamua kuyauza baada ya muda ili kuepuka kufilisika, nilitaka ninunue walau 2 nione inakuaje, lakini nakatishwa tamaa ninapoona biashara hizi huwa zinafilisi watu

Hii biashara kama ilivo biashara nyingine inachangamoto zake chache ambazo ukizifaham utafanya biashara,

Hata mimi kabla ya kuianza nilikatishwa tamaa na comment za wengi lkn kwakua hii biashara sio jaribio langu la kwanza sikusita kujaribu,nimekua nikiifanya tangu 2015 na mpaka sasa inafanya vizuri.
Kwanza kabla ya yote nikukumbushe kwamba ukiona unafanya biashara na haupati changamoto anza kutia Shaka kuhusu hiyo biashara na usifukie ndotozako kupitia walioshindwa,pitia walioshinda,

Mambo ya kuzingatia katika Hii biashara kwa ufupi;

1.Kama nimuajiliwa tafuta kijana ambae anachembechembe za uaminifu na anaijua biashara ya daladala na anawajua mafundi wazuri wa aina ya gari unazotaka kuanza nazo,(wako wachache amini mmoja atakua wakwako),wekeza kumtengeneza afanane na maitaji yako na hakikisha unamlipa kama kazi.
2. Hakikisha unanunua gari moja kwa moja kutoka Japan,usithubutu kununua TZ,
3. Funga tracking system kwenye kila gari,ujue kwa wakati gari ilipo imezimwa au inatembea,
4.ukipata taarifa gari imeharibika,dareva aelewe wazi kwamba jukumu lake ni kupack na kutoa taarifa kwa msimamizi ambae yupo standby kwenda kushugulikia matatizo,haruhusiwi kutumia ela yoyote kuhudumia gari,
5.heshimu mapato kuliko unavowaheshimu baba na mama, Maximum ya 3:2:5 Yani mshaharawako,matengenezo na Faida kwa miaka miwili ya kwanza na miaka inayo fata tumia 2:3:5

6.peleka gari service kila baada ya siku ishirini na hakikisha inafanyika chini ya msimamizi wako au ww mwenyewe.

Hizo ndio dondoo muhimu kwa sasa!!

Nikukumbushe kwamba kufikia mafanikio hakuna njia rahisi,you need to master processes to do a profitable business.

All the best
 
Ushauri mzuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naamii wale waoga sasa ka wamepata picha maana walikuwa wanakatishwwa tamaa tuu
 
Safi sana, umetema cheche staiki.

Ukitaka ufaidi hii biashara, kaa mwenyewe kwenye usukani, mlangoni unamuweka wife kuepuka ulanguzi wa makondakta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa Maelezo mazuri kiongozi yaani umeekeweka vizuri, umeongelea kuhusu kununua second hand unatushauri nini sisi wenye mitaji midogo tukitaka kununua binafs nahiaji hiace superoof
Second hand ni nzuri pale tu unapopata yenye uafadhali. Lakini jitahidi sana kutenga pesa ya maana ya service kwa sababu second hand zina substantial costs for wear and tear
 
Kama huna uzoefu nayo au huna msimamizi wa kueleweka hiyo hela yako bora ujenge nyumba upangishe biashara ya magari ni pasua kichwa
Biashara ya magari ina misingi yake. Ukifuata unatusua haraka sana mkuu. Lakini pia ukipata vijana wabovu ni pasua kichwa kweli kweli
 
Back
Top Bottom