emanuel goa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2018
- 522
- 585
Ardhi ,udongo,au au "soil" ni haiKwa sababu ndio vilikuwa vya mwanzo kuumbwa. Na lengo la Mungu ni kuweka uhai juu ya ardhi.
Kitabu cha Mwanzo. Hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na nchi. Hii maana yake ni kwamba aliumba nchi ili aweke vitu vyenye uhai. Na kwa tafsiri ni kuwa baada ya kuumba mbingu na nchi Mungu alitulia kwa muda ndio akaanza kuumba vitu vingine.