Elimu yetu duniani bado ndogo sana na ndiyo maana inashindwa kutambua kwamba ardhi ni kiumbe hai, wataalamu wanashindwa hata kufikiria inakuwaje chini ya ardhi kuna viumbe hai vinaishi, inawezekanaje hivyo viumbe viishi pasipokuwa na uhai? Yani elimu hii jinsi ilivyo ndogo inashindwa hata kujua kwamba ardhi inakuwa mana km haikuwi je nyufa katika nyumba zinasababishwa na nn?
Elimu hii ya dunia ilivyo ndogo inashindwa hata kutambua kwamba hewa pia ni kiumbe hai mana km hewa isingekuwa na uhai ingewezekana vipi sisi wanadamu tuvute kitu kisicho na uhai zen tukaendelea kushi?
Kuna vitu vingi tu vyenye uhai lkn elimu hii ndogo ya dunia yetu imeshindwa kutambua, mfano elimu imeshindwa kutambua kwamba maisha nayo yanaishi, yani imeshindwa kujua kwamba maisha pia ni kitu chenye uhai, kama maisha hayana uhai mbn yana mwisho? Elimu yetu ya dunia bado ndogo sana ndio maana mpk leo dunia ina maendeleo madogo sn, eti mpk leo duniani binadamu tunatumia masaa mengi kutoka bara moja kwenda lingine daahhh.