Je ni kwanini Aridhi (Soil)sio kiumbe hai?

Babe la mji

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2019
Posts
980
Reaction score
2,059
Wanajukwaa Salam,
Ningekua nikfikilia hili Jambo kwa muda mrefu Sana.

Aridhi kwa ufupi ndiyo inawwzesha maisha ya viumbe vyote hai duniani kuwepo.Mimea ambayo ndiyo chanzo Kikiuu Cha chakula inaota kwenye Aridhi .kwa vyovyote Aridhi ndo chanzo Cha uhai kwa viumbe vyote duniani.

Sifa za Aridhi ni kama zile za viumbe hai pia.
Aridhi anazaliwa ,inakua na vilevile inakufa (soil development)

Sasa inakuaje kitu kinachosaidia viumbe kuwa hai chenyewe kisiwe hai?
Mimea yote inaota kwenye Aridhi na ndiyo chanzo Cha KIKUU Cha kuwezesha maisha ya viumbe vyote viwepo duniani.The source of food for all living things.

Samahanini mwandiko wangu n mbovu lakini ujumbe umefika naomba mchango wenu hasa watalamu wa Geography na Biology.
 
Kwa sababu ndio vilikuwa vya mwanzo kuumbwa. Na lengo la Mungu ni kuweka uhai juu ya ardhi.
Kitabu cha Mwanzo. Hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na nchi. Hii maana yake ni kwamba aliumba nchi ili aweke vitu vyenye uhai. Na kwa tafsiri ni kuwa baada ya kuumba mbingu na nchi Mungu alitulia kwa muda ndio akaanza kuumba vitu vingine.
 
mtu ameuliza zake serious we unamjibu ujinga dah?
 
Kwa sababu ndio vilikuwa vya mwanzo kuumbwa. Na lengo la Mungu ni kuweka uhai juu ya ardhi.
Kitabu cha Mwanzo. Hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na nchi. Hii maana yake ni kwamba aliumba nchi ili aweke vitu vyenye uhai. Na kwa tafsiri ni kuwa baada ya kuumba mbingu na nchi Mungu alitulia kwa muda ndio akaanza kuumba vitu vingine.
Nashukulu Sana kwa mchango wako,Swali he ni kwa nini wanasayansi hawasemi kwamba Aridhi ni kiumbe hai.? Kwa mfano ili binadamu awe na afya njema anashauliwa kula mko kamili,vilevile ilu Aridhi itoe mazao mengi lazima ilishwe mbolea,nazani umepona ufanao.

Pia Israeli wamelutubisha (wameipa uhai Aridhi yao kwa virutubisho)Aridhi yao ambayo kwa asili ni jangwa na sasa ivi ni wazalishaji wakubwa wa matunda duniani.
Swali langu kwa nini wanasayansi hawataki kukubali Aridhi ni kiumbe hai kwa maana ndo chanzo Cha uhai?
 
Una uhakika na ulichokiandikaa???
FB_IMG_16233143493589337.jpg
 
Nashukulu Sana kwa mchango wako,Swali he ni kwa nini wanasayansi hawasemi kwamba Aridhi ni kiumbe hai.? Kwa mfano ili binadamu awe na afya njema anashauliwa kula mko kamili,vilevile ilu Aridhi itoe mazao mengi lazima ilishwe mbolea,nazani umepona ufanao.

Pia Israeli wamelutubisha (wameipa uhai Aridhi yao kwa virutubisho)Aridhi yao ambayo kwa asili ni jangwa na sasa ivi ni wazalishaji wakubwa wa matunda duniani.
Swali langu kwa nini wanasayansi hawataki kukubali Aridhi ni kiumbe hai kwa maana ndo chanzo Cha uhai?
haitakaa itokee wakubali kwa sababu wao tuuu hawaamin uwepo wa Mungu.

na ukizingatia ardhi ina uhusiano wa moja kwa moja na maswala ya uumbaji ambapo mwenyewe ni Mungu.

alafu babu swali lako lipo mtambuka saaaana na lipo kiiman zaidi na wala si kisayansi
 
Hapana swali langu lipo kisayansi kabisa.nikupe mfano ,Kama usipokula chakula chenye vilutubisho mwili wako hautakua na afya bola mwisho wake utapata magonjwa na hali hiyo inaweza Leta hata kifo,na Aridhi nayo ikilimwa muda mlefu bila kuiwekea mbolea hali hiyo italeta hasara kwa mkulima manake hatapata mazao,hiyo hali ni kama Aridhi imekufa kwa maana inatumika bila kulishwa hivo basi ni kama imekufa.
 
Wanajukwaa Salam,
Ningekua nikfikilia hili Jambo kwa muda mrefu Sana.

Aridhi kwa ufupi ndiyo inawwzesha maisha ya viumbe vyote hai duniani kuwepo.Mimea ambayo ndiyo chanzo Kikiuu Cha chakula inaota kwenye Aridhi .kwa vyovyote Aridhi ndo chanzo Cha uhai kwa viumbe vyote duniani.

Sifa za Aridhi ni kama zile za viumbe hai pia.
Aridhi anazaliwa ,inakua na vilevile inakufa (soil development)

Sasa inakuaje kitu kinachosaidia viumbe kuwa hai chenyewe kisiwe hai?
Mimea yote inaota kwenye Aridhi na ndiyo chanzo Cha KIKUU Cha kuwezesha maisha ya viumbe vyote viwepo duniani.The source of food for all living things.

Samahanini mwandiko wangu n mbovu lakini ujumbe umefika naomba mchango wenu hasa watalamu wa Geography na Biology.
Nacho jua mimi,ardhi nayo ni kiumbe hai.
 
Kuna 4 Elements
Hewa
moto
maji
Udongo
:::Vyote vina kazi maalumu katika filosofia ya ulimwengu Ardhi ilipatiwa kazi ya kutulisha,kuhifadhi metal na precious matter pia kuondoa au kusaga vyote visivyo na uhai na ili kuweka dunia katika uwiano wake kwa ardhi ina kazi ya Ku crack down ex living material,na ina hormone hizo maalumu vikiwemo vijidudu bacteria's to endup well aidha material ni ngumu au laini .
 
Sawa lakini hivo vyote yani hewa,moto,maji vimebebwa na Aridhi .pia swali langu hajalijibu ,ni kwa nini Aridhi sio kiumbe hai?
Mjadala uko hapo kwenye Hilo swali
 
Aridhi ni kiumbe Hai, mabadiriko ya kijografia, tabia ya nchi au mazingira yanaweza kuifanya ardhi kufa au kuhuika.
 
Sawa lakini hivo vyote yani hewa,moto,maji vimebebwa na Aridhi .pia swali langu hajalijibu ,ni kwa nini Aridhi sio kiumbe hai?
Mjadala uko hapo kwenye Hilo swali
Ardhi ni kiumbe hai kama viumbe vingine huitaji maji hewa na n.k
Na hubadilika na bora zaidi inapopata vichochezi vyake kama Kabondaoksaidi n.k..!
 
Kuna mtu aliwahi kutuambia tuiheshimu ardhi kwa sababu ni kiumbe hai, alinifanya nifikirie nje ya box
 
Majibu yapo kwenye Baiyolojia ya kidato cha kwanza - haina sifa za viumbe hai ambazo ni:
• Movement
• Nutrition
• Respiration
• Excretion
• Growth and development
• Sensitivity
• Homeostasis
• Death, n.k.
 
Nashukulu Sana kwa mchango wako,Swali he ni kwa nini wanasayansi hawasemi kwamba Aridhi ni kiumbe hai.? Kwa mfano ili binadamu awe na afya njema anashauliwa kula mko kamili,vilevile ilu Aridhi itoe mazao mengi lazima ilishwe mbolea,nazani umepona ufanao.

Pia Israeli wamelutubisha (wameipa uhai Aridhi yao kwa virutubisho)Aridhi yao ambayo kwa asili ni jangwa na sasa ivi ni wazalishaji wakubwa wa matunda duniani.
Swali langu kwa nini wanasayansi hawataki kukubali Aridhi ni kiumbe hai kwa maana ndo chanzo Cha uhai?
wanasayansi hawajaipa ardhi uhai sababu hawajui hili wazo hata kufikiria tu..kuwa ardhi ina uhai

Kwa nini unaona kila kitu lazima uandikiwe na wanasayansi wazungu?? Sikia...

Wewe hili ni wazo lako ulipaswa kulitungia agenda na kuuza vitabu ukawa tajiri....

Sasa unayaanika humu!! Ili uibiwe bila kujua!!
. Dogo hili wazo ni pesa!!!!!. faster kaandike kitabu utoke kimaisha
 
Asante kwa mchango wako,Sina uhakika ndiyo maana nimeuliza Hilo swali.Inakuaje kitu kinachosaidia uhai chenyewe kisiwe hai.
umejusje ardhi siyo hai?? Acha uongo ardhi ni hai na inaongea sana!!
Ina poga chabo pia.
Inalipa kisasi.
Inakupa mali.
Inakupa amani.
Inakupa umaskini usipojua kuikanyaga kwa adabu.
Ina laani mtu km wewe.
Ardhi ina
masikio.
macho.
hisia.
Vihamshi.
Ongea nayo km haitakujibu unachotaka.wachache sana tunalijua hili.ila tunaficha!!
Usicheze na ardhi wewe kijana umetokea wapi kwanza...
 
Wanajukwaa Salam,
Ningekua nikfikilia hili Jambo kwa muda mrefu Sana.

Aridhi kwa ufupi ndiyo inawwzesha maisha ya viumbe vyote hai duniani kuwepo.Mimea ambayo ndiyo chanzo Kikiuu Cha chakula inaota kwenye Aridhi .kwa vyovyote Aridhi ndo chanzo Cha uhai kwa viumbe vyote duniani.

Sifa za Aridhi ni kama zile za viumbe hai pia.
Aridhi anazaliwa ,inakua na vilevile inakufa (soil development)

Sasa inakuaje kitu kinachosaidia viumbe kuwa hai chenyewe kisiwe hai?
Mimea yote inaota kwenye Aridhi na ndiyo chanzo Cha KIKUU Cha kuwezesha maisha ya viumbe vyote viwepo duniani.The source of food for all living things.

Samahanini mwandiko wangu n mbovu lakini ujumbe umefika naomba mchango wenu hasa watalamu wa Geography na Biology.
Siku zote majitu mababe hayana akili. Wewe unajiita"Babe La Mji",akili utaitolea wapi. Hapa ndo nazidi kuamini JF imevamiwa na waliopata div five.

Hivi kweli nani hajafundishwa kuwa udongo ni kiumbe hai?
Nani hajui kuwa sifa za viumbe hai ni pamoja na kupumua na kukua?
Nyakati nyingine waalimu walitumia mifano ya nyakati mvua zinaanza kunyesha,ikinyesha kidogo tu na kukata utakuta ardhi imeumuka,ile ishara kuwa ardhi inapumua. Na wakati mwingine ardhi huonesha mipasuko mingi baada ya mvua au maji yalotuama kukauka.

Ardhi inakuwa,na hapa walosoma Geo wanafahamu vizuri. Zipo njia nyingi na agents wengi ambao hufanya udongo kukua au kuongezeka. Mfano,kuoza kwa masalia ya viumbe wengine,weathering nk.

So majitu yanayouliza maswali kama yako mnakuwa kama wajinga wa mwisho. Mnaudhi.

Na wakati mwingeni,penda kujielimisha kwa kusoma vitu mbalimbali na machapisho.

Nimekujibu juu juu tu,ukitaka more details kasome physical Geo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom