Je ni kupenda au kutamani tu?

Je ni kupenda au kutamani tu?

Yale ndo mapenz ya kweli kabla hujachakachuliwa.. Utakapopitiwa na watu km 10 ndo utaacha kupenda... Utakuwa unataman kuchapa na kusepa au pesa yake.. So by that moment there is much true love than U can imagine!!

mm bado nnamashaka ila labda kwa ckupitia huko
 
Watoto wanakua upesi mihemko iko juu hapo ni kudanganyana tu mana mfano kafika form four mungu kamjaalia kaenda A level anakutana na wakali zaidi anahamisha makazi hapo akienda university ndo zaidi mihemko tu nyege mshindo zinawasumbua

na mtoto hadi anamaliza university amesha experience maumiv ya mapenzi kwa sanaaaa yani humwambii kitu kabisa juu ya mapenzi na sjui ni kipi asichokijua.

da hapo umenena kumbe ndo maana....... ..
 
Yaani ni kweli usemacho mie nna classmate wangu hadi leo ana experience ya kutosha hamna kitu asichokijua anakwambia hata shetani akizeeka huwa malaika!

at hiyo misemo ha ha ha
 
Huwa ni foolish age. Uliza wakimalza 4m four matokeo yatoke km huwa wanaendeleaga,
 
sasa na hawa wa form 6 utasema ni foolish age? maana shuleni anatongoza akiwa likizo kwao anawinda mwingine tena na wote hakuna anaewaza swala la kuoana hapo lakini sms za "DEAR I LOVE YOU SO MUCH" nyingi kweli !!!.. sijui haka katabia kalianzia wapi
 
Back
Top Bottom