Je ni kosa kuanza kumuomba msamaha mpenzi wako ikiwa wote niwakosefu ?

lazima ukae

JF-Expert Member
May 15, 2013
789
382
Habari zenu mabibi na mabwana

Inapotokea umemkosea mpenzi wako na yeye baada ya kukerwa na kitendo ulichomfanyia aka react katika hali ambayo inakufanya na wewe ukereke je kuna kosa ukianza kumuomba msamaha mpenzi wako ?

Hapa naongelea zaidi kama wewe ni mtoto wa kiume ambae ndo umesababisha tafrani lakini ukatangulia kujishusha hata kama na yeye alikukera

Je anaweza pia akakuona ni mdhaifu kwa kuanza kujishusha ?
 
Vijana wa miaka wa 90 mnapata tabu sana.....kila jambo mnataka ushauri duh
 
Back
Top Bottom