basi me kwangu maji yaliyoganda huwa nayafananisha na theluji.
Btw, unaweza kunipa jibu?
Patna nakupa desa....herufi mbili za mwisho ni N na O.
Ngoja nianze kuunganisha.
M---no. mmmh . . bado giza!
huu ni MFANO tu
Ngoja nianze kuunganisha.
M---no. mmmh . . bado giza!
Herufi za mwisho ni zipi sasa?Ndio herufi ya mwanzo ya hilo neno...
teh teh umechemka
mwenzio anakupoteza huyo
Herufi za mwisho ni zipi sasa?
N na O
He hee na za katikati?N na O
Hili swali linahitaji fikra tunduizi kulijibu,na usipokuwa makini waweza tumia kitenzi kikurupushi ukalambwa ban..
He hee na za katikati?
mie mbona nshampa uhuru,....utauweza uke wenza weye?
Patna nakupa desa....herufi mbili za mwisho ni N na O.
MsongamaNO..!?
hehehe..nikishindwa uke wenza si ninakupiga chini nabaki peke yangu.
MsongamaNO..!?