Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
bora hata umejileta mwenyewe, lile zoezi la kukurudisha darasani nimelifuta badala yake ujibu hili swali na ukipata tu vigeregere lazima vipigwe but queen kan asijue
bora hata umejileta mwenyewe, lile zoezi la kukurudisha darasani nimelifuta badala yake ujibu hili swali na ukipata tu vigeregere lazima vipigwe but queen kan asijue
Ni cheupe kama barafu na ni cheusi kama giza, kuliwa ni haramu na kunywa ni halali. Kina herufi tano na kinaanza na herufi ''M'', kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na kinatumiwa na wanawake mara moja katika umri wao
JE, NI KITU GANI HICHO?
Hivi barafu ni nyeupe???...just curious
Hiyo .ni M...
nshajua...lol
Yap.. Ninyeupe au ulitaka kusema ni colorless?
mmh...nijuavyo mimi theluji ndio nyeupe, lakini barafu haina rangi
hahaha... Queen kan unakaba hadi penat, mpe basi king kan jibu ili niwe bi mdogo au hutaki uke wenza wewe?
basi me kwangu maji yaliyoganda huwa nayafananisha na theluji.
Btw, unaweza kunipa jibu?
Umepata jibu sahihi haswa.
Weka basi walau na herufi mbili za mwisho!
Mh hiyo M ndo nini sasa...malizieni