Je, ni kiasi gani cha fedha unaweza ku-deposit benki bila kuulizwa umezitoa wapi?

Mkuu nenda na million 500 kwenye begi benki ukaweka pesa uone watakavokuweka chini ya ulinzi pale pale ,huku wakitaka utoe maelezo aliyonyooka hizo pesa umetoa wapi
Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M
 
Bank za serikali hizi wanahoji sana mm kaka yang kuna kipind alikuwa kila baada ya siku 2 lazma akaweke NMB 30M na ni chalii tu mbona walimwita na kuanza kumuuliza kazi yake.
Ila Bank kama Barclays, Standard chartered ndio weng huwa wanakimbilia kuweka pesa nying kwa mkupuo maana hawana time hao wanaangalia pesa tu.
Hizi zenye ubia na gvt wanajifanya Polisi wsng sana hawa
 
Hakuna benki inayomhoji mteja anapodeposit
Banks zinauliza source of big deposits ikiwa mwanzoni uli disclose source of funds itakuwa ni nini na Ni kiasi gani monthly au annually. Then all of a sudden ukaweka kinyume na ulichoelezea laziim wahoji. Ingawa cashier atapokea ataweka. Then kuna system inadetect ile amount unaweza after some days ndio ukapigiwa utoe maelezo. Na maelezo yako km hayajanyooka account yako yaweza kuwa blocked.

Hii ni katika sheria za know your customer na anti money laundering
 
Unaandika kitu unachokijua au ulichosikia? Siyo kazi ya benki kumhoji mteja alipopata pesa. Nimefanya kazi benki flani kama DSE, nimefungua sana akaunti na watu walitupia mizigo mizito kuliko hiyo 500M
Labda km tangu mwanzo walieleza akaunti zao zitakuwa na Big deposits.

Huwezi kufungua account km muuza nyanya mwenye kipato cha laki 1 kwa mwezi then uweke mil 500 bank ikuwekee tu bila kukuhoji.

Kawaida huulizwi hapo hapo. Utaweka fresh tu ila after some days watu wa compliance wanakutafuta
 
Back
Top Bottom