Je, ni kabila gani uliambiwa usioe/ usiolewe nalo na kwanini?

sijui baba yangu aliona nini alinisisitiza sana kutokuoa maskini , mwanamke anayetoka familia ya kimaskini kwanza hana mawazo sahihi ya uchumi ,wanarizika sana wakizikuta mali, ni jeuri na sio wapambanaji , nilikatazwa sana kuoa mwanamke toka familia za kimaskini wana tabu sana , watakujazia ndugu hapo kwako ,
 
Masikin wana ishara gani? Au anatakiwa awe na chini ya kiasi gani cha mali mtu aitwe maskini?
 
Pamoja na yote tambueni most women wanadanga na wanadanga kweli please kindly chunguza na wanawake wanatoa sana mimba kwanzia mimba 5-20 wanatoa tu haijalishi ya umri gani, jifunze namna Bora ya kutambua tabia na ubora wa mwili wa mwanamke. Ni hatari kama mashuti ya Mzize wa Yanga
 
Nina demu wa kipare ila sioni red light.. mkuu hebu eleza kidogo usikute ana hide mavitu huyu la mama.
Iko hivi,wapare wa pare ya chini(same,gonja na Lushoto)usioe.Wapare wa pare ya juu(Usangi na Ugweno)Oa.
Pare ya chini(Southern Pare) kwanzia wanaume mpaka Wanawake ni malaya sana,akijikwaa tu badala apeleke donda hospital anaenda kwanza kwa mganga.Kwa ujumla ni washirikina.Wapare wa kaskazini(Northern Pare,Usangi na Ugweno)wametulia,kwenda kwa mganga ni mpaka hospital ishindikane kabisa.Kwa ujumla Usangi na Ugweno wanakatazwa sana kuoa mwanamke kutoka Northern Pare.Ni marufuku kwasababu ya hizo tabia zao.
 
Kuna mpare kaoa dada angu jamani ni hatari yule kiumbe, anapenda ushirikina sijaona khaa!!

Mbaya zaidi kabaka mtoto wake wa kumzaa, mkewe anamfanya mpk analalamika kachoka na mume ana rungu la kipepe kubwa. Mimi nikienda kusalimia nakaa kwa tahadhali namuogopa!!! Lakini naamini bado wapo wapare wenye tabia nzuri
 
sijui baba yangu aliona nini alinisisitiza sana kutokuoa maskini , mwanamke anayetoka familia ya kimaskini kwanza hana mawazo sahihi ya uchumi ,wanarizika sana wakizikuta mali, ni jeuri na sio wapambanaji , nilikatazwa sana kuoa mwanamke toka familia za kimaskini wana tabu sana , watakujazia ndugu hapo kwako ,
The same us ukiolewa familia maskini,halafu mmeo ndo awe Elon Musk wa familia.
 
Back
Top Bottom