Je ni haki?

nitaridhika tu!..nitakuwa NIMELEWA,MI NIKIKOJOA TU BASI...MBONJI MPAKA ASUBUHI

YE NI MIHASIRA YAKE ATAJIJUA!

Kaazi kweli kweli ningepewa wewe kama mume wangu mbona ningekuwa nalia kila siku!
 
Mwe nisamehe mawazo yangu ni tanzania house of beauty (thb) am so sorry kwa kupindua jina lao bht mamii.

Ok apology for pairing you up with the dangerous man Xpin du kazi ipo.

mimi na wewe MJ1!!!!!!!!!!! Hamna hata haja ya kuapolojaizi!!! I new wat u meant!!

hapo kwa Xpin, apology accepted!!!

back to ze topiki.....namfungia vioo mpaka tatizo liishe maana ukikubali tu ndo mwisho wa kila kitu hata lile alokuudhi huna nguvu tene ya kukonfront aaaah!!! staki bana!!
 
Phewww

Hata kama mwenzio umemkosea? so ule msemo wa wanaogombana ni kina Geoff na Mtarajiwa wakubwa si wale wadogo ni kweli? lakini utaridhika kiwango kikiwa chini?

Hakuna ugomvi utakaomruhusu mke wangu kuninyima game! Mi hata kama pafomensi itakuwa low kama ya punyet.o, Mi mtarimbo wangu ukishatema najilalia zangu na ugomvi unaendelea kama kawa! Ugomvi wa mdomoni hauna uhusiano na ushirikiano wa baioloji zetu!
 
mie kwa kweli hapana, kama amenikera ile kukera akanikosessha raha kabisa, ahesabu tutapitiliza ucku, tena bia huruma, kwangu sex ni raha/starehe na sio karaha...kama cpo sawa hakifanyiki kitu, lakini kama ni mie nimemkorofisha huo ndio mtego wangu, nitafanya juu chini tuyamalizie kwa dizaini hii, always nafanikiwa.
 
Adhabu ya kumnyima unyumba inaweza kufanya kazi kutegemea na kosa lenyewe, sio makosa yote. Mfano kosa la kurudi usiku wa manane, ukimnyima unyumba unaweza kuwa hutatui tatizo bali unaliongeza.

Anaweza akawa katoka nyumba ndogo, kashapewa unyumba kiasi kwamba akifika nyumbani anahitaji kulala tu....Wewe unapomnyima unyumba haisadii tena, basi anashukuru kwa kuwa kachoka na anaogopa yasije kumfika ya MC Lema (RIP).
 

kwanza nikiwa na hasira ushirikiano wake siuhitaji, mie nahitaji kukamua nazi tu, nikipata tui, nachapa mbonji. akitaka raundi zaidi itabidi apige mbizi vilindini

pili kwa mwanaume hakuna kitu kama hicho nachoita kiwango cha chini. dume likishakojoa tu kiwango kimeishakuwa cha juu. sasa jamani ushindwe hata kukamua tui tu kisa eti hasira, bado utakuwa mwanamke kweli?????????
 
nikinyimwa gemu leo(let's take LEO USIKU)...!TOMORROW MORNING SHE GOES BACK HOME!.....period
greti thinka huu msimamo ni mkali kuliko wa anodi shwazinega.
beki tu ze topik! mimi nitavumilia ,nitamsubiria na yeye siku yuko moto moto keshajiandaa na vijihoti poti vyake namwambia no entri tudei, navuta shuka nalala upande wa ukutani. taifa starz 0 - ivory coast 0. tunasubiri mechi ya marejeano
 

GM7 mbona nipo mie? Heri ya mwaka mpya my dia

Ni kweli sababu zipo but sometimes huwa hamzisemi mnasingizia tu pombe au unakuta mtu anarudi late akiulizwa ni mkali na kejeli juu sasa hasira si zinamzidi wife? Bado hatakiwi kumnyima? Suppose wife amekukuta unamchuchua dada wa kazi live, akikasirika hana haki ya kukunyima? (kumchuchua ni kumchokoza kimahaba)
 
mtashangaa sana mwaka huu, kwanza haki ziko mahakamani na si kitandani, upo mpaka hapo!?

nipo akili kichwani endelea
na kwa kuongezea tu kidogo unapomnyima mwenzio kitu yake ndo unampa tiketi ya kwenda kutafuta za kulipia
 
nimekukubali mkuu.

technically, mwanmke hana ruhusa ya kunyima mzee gemu, na anatakiwa kulia hata kama haumii wakati wa gemu, ndio maisha bwana msilete mambo ya haki sawa za beijing!!!!!!!!!!!!!!


yuuukkk....kwani mapenzi yamekuwa ni adhabu?
 
Mwe nisamehe mawazo yangu ni tanzania house of beauty (thb) am so sorry kwa kupindua jina lao bht mamii.

I will not apologize for pairing you up with the lovely man Xpin.

Thanks MJ1! You mean a lot to me! Sasa kaambie hako kabinti, kasipoteze hii bahati adimu!
 


Yaani una maanisha yeye akimwaga ugali, wewe unamwaga mboga siyo? Tehe tehe tehe.....Ila uongo dhambi wanaume tu wadhaifu sana kwenye kale kamchezo, lazima uvumilivu utakushinda tu!
 

Hahahahahaha duh kaazi kweli kweli naona hapa anakula za kinyamayaonyamayao hatari kabisa lol
 

jamani mbavu zangu! kumbe these are two independent entities?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…