Je, ni haki na halali kwa mwanaume kuvaa wigi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
Mfano katika Judiciary, wanaume wanalazimishwa kuvaa mawigi ili kuenzi utawala wa mkoloni. Napendekeza badala yake majaji wavae ngozi ya Simba badala ya mawigi ya kizungu, hii itasaidia kuondoa utumwa wa kichwani na kuongeza self esteem kwa vizazi vijavyo.
africa-zimbabwe-judges.jpg
 
Sijaona kwetu kama wana vaa
Actually hayo mawigii yameshapigiwa sana kelele kwamba ni ukoloni mamboleo, lakini ni aibu na ukweli mchungu kwamba hadi leo hii majaji wanaume wanalazimishwa na mfumo kuvaa mawigi ya kizungu. Huu ni udhalilishaji kwa maoni yangu binafsi, pia ni ishara ya ukubwa wa mkandanizi wetu na udogo wa uhuru wetu.
 
Upo sahihi kabisa, sijaona mantiki yoyote kuwababaisha watu yale madude kichwani, waje hapa "majaji" kutetea hoja ila sidhani kama kuna sababu kwa karne hii kuiga kila kitu.
 
Actually hayo mawigii yameshapigiwa sana kelele kwamba ni ukoloni mamboleo, lakini ni aibu na ukweli mchungu kwamba hadi leo hii majaji wanaume wanalazimishwa na mfumo kuvaa mawigi ya kizungu. Huu ni udhalilishaji kwa maoni yangu binafsi, pia ni ishara ya ukubwa wa mkandanizi wetu na udogo wa uhuru wetu.
Nchi nyingi awa yavai wali acha
 
Ilibidi watu wenye komwe nao wavae, sipati picha nitakavyocheka akivaa bwana yule
 
Mfano katika Judiciary, wanaume wanalazimishwa kuvaa mawigi ili kuenzi utawala wa mkoloni. Napendekeza badala yake majaji wavae ngozi ya Simba badala ya mawigi ya kizungu, hii itasaidia kuondoa utumwa wa kichwani na kuongeza self esteem kwa vizazi vijavyo.View attachment 1203361
Waweza kufanyishwa matambiko usiyoyajua kisa Kazi..tubadilishe hizi nguo ziwe na rangi ya bendera ya taifa na kofia nyeupe ikiwa na maana usafi wa utendaji haki..
 
Mfano katika Judiciary, wanaume wanalazimishwa kuvaa mawigi ili kuenzi utawala wa mkoloni. Napendekeza badala yake majaji wavae ngozi ya Simba badala ya mawigi ya kizungu, hii itasaidia kuondoa utumwa wa kichwani na kuongeza self esteem kwa vizazi vijavyo.View attachment 1203361

Hao hao wazungu walitesa babu zetu halafu hii mijitu mieusi inawaenzi. Ujinga mtupu yani
 
Back
Top Bottom