Je ni haki kulipia interview ya kazi?

Je ni haki kulipia interview ya kazi?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,286
Reaction score
10,832
Wanajamvi. Nimekuwa nashuhudia matangazo mengi ya kazi, because i'm a job seeker. Lakini cha kushangaza ni kwamba wanataka hela ili ufanyiwe interview. Sasa najiuliza kunatofauti gani na ile kuhonga ya kipindi kile? Isitoshe baadhi ya makampuni hata hayajulikani. Sasa naomba kuuliza katiba yasemaje katika swala hili? Kwenu wanajamvi
 
mmmhhhhh ulipie kazi tena, rushwa hiyo. kazi ikulipe. na kama uko competent why pay??
 
Kwa hiyo katiba inazuia. Maana kuna makampuni kama saba yanayojiita ya kimataifa wamenifanyia hivo nikashit. Ndo nkajiuliza hadi kazi tunalipia kama masomo. Kimsingi matangazo mengi ya kazi hapa morogoro ndo yako hivo wanajamvi. Makampuni ya ki international matangazo wanabandika kwenye mistimu na kuta badala ya ku broadcast. Aksante wakuu!
 
Hata we mwenyewe haushangai!
kampuni la ki-international alafu tangazo liwe kwenye mstimu..!!
tangu lini'!
kaa chini TAFAKARI..
 
Back
Top Bottom