Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wanajamvi. Nimekuwa nashuhudia matangazo mengi ya kazi, because i'm a job seeker. Lakini cha kushangaza ni kwamba wanataka hela ili ufanyiwe interview. Sasa najiuliza kunatofauti gani na ile kuhonga ya kipindi kile? Isitoshe baadhi ya makampuni hata hayajulikani. Sasa naomba kuuliza katiba yasemaje katika swala hili? Kwenu wanajamvi