elias godfrey
Member
- Oct 13, 2012
- 35
- 6
Mimi ni kijana ambaye napenda sana watoto wazuri sema tatizo kuna baadhi ya mademu wao wanajifanya wana pozi sanaa yaani in short wana mashauzi ile mbaya.
Swali: je ni sawa mimi kujifanya mpole ili nimpate nifanye yangu then nimteme au? Maana ana mashauzi sana mpaka anaboa yaani.
Swali: je ni sawa mimi kujifanya mpole ili nimpate nifanye yangu then nimteme au? Maana ana mashauzi sana mpaka anaboa yaani.