Mlisema hakuna atakaue andamana.Ramli zenu chonganishi zimefeli, zinafeli na zitafeli.
Kila siku mko online kuangalia nini kinaendelea.
Hali ya nchi iko shwari. Si kila jambo lazima ulijue, mengine pita kushoto
Ndio swali languHao watoto itakua wanatokea military intelligence department,sasa labda swali libadilike kuwa "kwanini wanao ambatana nae wamekuwa wengi" unaweza kukuta wengine wamepenyezwa hapo na mama report kwa boss mwingine
Domo refu kama chupa, kazi umbeya tuuuu !!! Yale yalishashindikana , subirini kama kuna jingine lakini sasa hivi hamtafanikiwa tena.Maanake hata huko kwa Mama wa demokrasia kwenyewe sasa hivi ukisema chochote hasi kwa Trump na vita vyake unaitwa mhaini. Jaribuni tena lakini sumu haionjwi !!!View attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Umapanic chukua glass ya majiDomo refu kama chupa, kazi umbeya tuuuu !!! Yale yalishashindikana , subirini kama kuna jingine lakini sasa hivi hamtafanikiwa tena.Maanake hata huko kwa Mama wa demokrasia kwenyewe sasa hivi ukisema chochote hasi kwa Trump na vita vyake unaitwa mhaini. Jaribuni tena lakini sumu haionjwi !!!
Kama kwa uandishi huo ni kama vile ushatembelewa na "OSG"Speculations Speculations Speculations. Hakuna jipya, mbongo mpe tu picha stori atatengeneza mwenyewe.
Wacha ninywe kwanza maji ya dafu. Nitarudi
JidanganyeKwa kitendo walichofanya October 29 Mifumo haiwezi kusomana
Kabisa hata ningekuwa mimi nisingekubali Nkunda awe kiongozi wanguKwa kitendo walichofanya October 29 Mifumo haiwezi kusomana
Mkuu habari yako nimekuelewa maoni yako, kuna yapo nimeyakubali ila nimeenda mbele kidogo vipi ikitokea watakaogomea kuongozwa hivi na wakamkaribisha adui atoke nje nini kitafuata ? Maana ni kweli unaweza kuziba ndani ila nje na kwa namna watu walivyo na maumivu hivi hawataweza kuwafichaP92 hapa kama ulitoka 10yrs back bado mimi senior wako na najua nachokisema, kama ulikuwa rubani mimi nipo kwnye utawala, km umefanya MI hata ya TMA tu wala sio kubwa utakua unajua haya, narudia kusema kwa muundo wa jeshi hata cdf akitaka kuasi na akawa na wafuasi wa kutosha bado atashindwa tu hata hao maaskari vijana wawe na utashi kamili unaouita hamna namna wanaweza kufanya, period
Naheshimu mawazo yako though...
Tumshukuru mungu kuwa Jeshi lipo na serikali lakini siku jeshi likichukuwa nchi basi mujuwe kuwa kila muda mfupi ya takuwa mapinduzi.View attachment 3558046
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa?
Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
Mkuu jeshi la Tz ni ceremonial tu la maparade na maonyesho, linakuwa jeshi rais akiamua kama anavyoamua ndani ya familia yake! Hawa unaona wanavaa vyeo tu na kufanya mafunzo nchi mbalimbali kupata per diem na posho tu! Hatuna jeshi la vita wala maafisa na askari wenye balance ya pesa hata ya kula miezi mitatu mbele so hawana uwezo wa kuasi kwa kuwa hata chakula hawana cha kutosha so ni lazima watabend kwa wanasiasa tu.Mkuu habari yako nimekuelewa maoni yako, kuna yapo nimeyakubali ila nimeenda mbele kidogo vipi ikitokea watakaogomea kuongozwa hivi na wakamkaribisha adui atoke nje nini kitafuata ? Maana ni kweli unaweza kuziba ndani ila nje na kwa namna watu walivyo na maumivu hivi hawataweza kuwaficha
Sasa unanitafutia life ban😂😂🤣Hapo kwenye a weka u itapendeza zaidi.
Maji sinywi na mje tena. Nyau nyieUmapanic chukua glass ya maji
Tungekua na jeshi dhaifu Serikali ingekuwa imeshapunduliwa na M23 tarehe 29 October 2025 ila jeshi letu lilicheza michezo wanayoipenda mwisho wa siku hata baba yao kagame akasusa kutoa pongezi kwa Dr Samia aliishia kusema anaunga mkono mapinduzi viva TPDF.