hali ya hatari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Serikali ya Haiti yatangaza hali ya Hatari na Marufuku ya Kutoka Nje Usiku

    Serikali imetangaza hali ya dharura na amri ya kukaa ndani (kuanzia Saa 12 Jioni - 11 Asubuhi) hadi Machi 6, 2024 kwa Wakazi wa eneo la Ouest linalojumuisha Mji Mkuu katika jitihada za kukabiliana vurugu kwenye Magereza Mawili zilizowawezesha Maelfu ya wafungwa kutoroka Machi 3, 2024 Vurugu...
  2. beth

    Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  3. Kingsmann

    Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

    Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa. Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza...
  4. Lady Whistledown

    Myanmar: Jeshi laongeza Muda wa Hali ya Hatari Hadi 2023

    Kiongozi wa Kijeshi wa Nchi hiyo, Min Aung Hlaing ameongeza muda wa hali ya hatari kwa Miezi 6 baada ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Kijeshi kuunga mkono kwa kauli moja huku akisema kukosekana kwa utulivu kwa kumekwamisha juhudi za kutekeleza mpango wa amani Jeshi lilitangaza hali ya hatari...
  5. Lady Whistledown

    Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  6. beth

    Hali ya Hatari yatangazwa Sri Lanka

    Waziri Mkuu wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe ambaye anakaimu nafasi ya Urais wa Nchi hiyo kwa sasa baada ya Rais Gotabaya Rajapaksa kukimbia Nchi ametangaza Hali ya Hatari na muda wa Wananchi kutotoka nje Inaripotiwa kuwa, mamia ya Waandamanaji wamezingira Ofisi yake Jijini Colombo. Polisi...
Back
Top Bottom