MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
Salam sana.
Mawasiliano ni nguzo muhimu katika ustawi na maendeleo yetu. Bahati mbaya sana Halmashaur nyingi za Wilaya na Manispaa hazina barua pepe kama nyia ya kurahisisha mawasiiano. Hiki ni kikwazo kikubwa sana kwani hupoteza muda na rasilimali nyingine kisa hakuna barua pepe. Je ni dhambi Halmashauri zetu kuwa na barua pepe ambazo ni rahisi tu kuzitengeneza kupitia mitandao?
Tuaomba wahusika watazame hili kwa jicho la ukaribu.
Wasalam.