hili naliona sana kwa watu wanao soma IT wengi wanafanya graphic sijui kwanini aiseeDogo ataenda kukua tu huko, watu waliosoma IT, IFM wanajua kupiga windows na kutengeneza graphics tu ahahahaha what a joke college.
Ndo wanachokiweza na ni rahisi.hili naliona sana kwa watu wanao soma IT wengi wanafanya graphic sijui kwanini aisee
Aende DIT, KIU au UCC ndiko kunamfaa.
Asijaribu hata kuifikiria UDOM pale ni kitu ingine ata disco semester ya kwanza tu
Watanzania wengi wamekariri kusoma kwa shida na kwa mikiki ndio elimu nzuri. Ukiwa na nia ya kusomea kitu fulani utafanikiwa tu, na ukimaliza utakuwa ni besy.Mbona sasa na mbwembwe zote lakini walidukuliwa
Unaijua DIT vzr mkuu kwa hiyo kozi? sidhan ka kuna sehem ngmu kama pale kwa IT, UDOM sjui pakoje but sidhan ka utafkia mzki wa DITAende DIT, KIU au UCC ndiko kunamfaa.
Asijaribu hata kuifikiria UDOM pale ni kitu ingine ata disco semester ya kwanza tu
Maybe ulsoma food science,We darasa wanaanz watu 160+ first year linapgwa panga second year mnajikuta 90+ af useme pa kawaida?? chief kua serious dit ka hujielew unapSir ndio habari ikufukie ile ndaki ya Informatics pale UDOM achana nayo kama IQ ya ni ndogo.
.
DIT nakufahamu nimesoma Diploma pale pakawida sanaaaa yani sanaa
Atafute chuo ambacho anaweza kupiga lab sio vyuo theory nyingi kama UD
Ajaende Unique pale akacheki
ICT, ukisoma theory bila labs unaona kawaidatatizo huelewe the bases of the two, theory and practical!!!
theories these are like principles or guidlines! from theories or guidelines anything can be done. Wewe unayefikiri practical ni nzuri kuliko theory umepotea sana!
Mwanafunzi/mtaaruma mzuri inatakiwa uelewe principles behind certain issues then utumie principle our guideline hizo kutengeneza kitu kingine
MFANO: ukiona unaenda chuo cha ICT siku ya kwanza tu unaanza ingizwa lab kufanya practical mpaka unatoka jua umekaririshwa na wewe sio mtaalamu bali ni fundi tu wakawaida. Kwanza inabidi ujue all theories behind ili siku likija tatizo lingine jipya unarefers tu, au unajua what is the source and why it happened
Upo sahihi, IT DIT ni kawaida, haina ugumu wowote ule.Sir ndio habari ikufukie ile ndaki ya Informatics pale UDOM achana nayo kama IQ ya ni ndogo.
.
DIT nakufahamu nimesoma Diploma pale pakawida sanaaaa yani sanaa
Hakuna cha UDSM, DIT wala IFM, vyote ni chenga kwenye IT!!Habari zenu Wadau wa JamiiForums,
Kuna rafiki yangu anaitaji kujua kuhusu chuo kipi kizuri anachoweza kusoma Course ya Information Technology (IT)
Yeye amemaliza Form Four (IV) mwaka jana
Ushauri wenu tafadhali
Youtube has all you needHakuna cha UDSM, DIT wala IFM, vyote ni chenga kwenye IT!!
Kama unajali pesa yako na kama unataka kuwa nondo kwenye IT na kama unataka kusoma modern technology na sio kusoma mambo ya miaka ya 80 basi soma hizi sehemu
1. Udemy.
2. Youtube.
Wapy bro ?Njoo MUST hapa dogo