OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,654
- 9,261
Hivi kati ya computer maintanance na ufundi simu upi unalipaUfundi simu unalipa ukipata kijiwe kizuri...
Hivi kati ya computer maintanance na ufundi simu upi unasoko
Nafasi ikiruhusu asome coz zote mbili kwa sababu haziachani sanaHivi kati ya computer maintanance na ufundi simu upi unalipa
Vyote vinalipaHivi kati ya computer maintanance na ufundi simu upi unalipa
Mkuu ahsante ila muda wa maombi umeisha Jana, vipi hakuna vyuo vya private?Veta kipawa DSM.
Kuhusu gharama na Muda wamafunzo,ingia Google utapata namba zao za simu kisha uwapigie kuuliza.
DIT walikuwa na kaproject sijui ilifikia wapi jaribu kuchekMkuu ahsante ila muda wa maombi umeisha Jana, vipi hakuna vyuo vya private?
Hayo maombi yaliyoisha Jana ilikuiwa ni Ile special program ya Waziri Mkuu.Mkuu ahsante ila muda wa maombi umeisha Jana, vipi hakuna vyuo vya private?
Powa powa mkuuHayo maombi yaliyoisha Jana ilikuiwa ni Ile special program ya Waziri Mkuu.
Njuavyo Mimi huwa wanatoa short courses. Ndio maana nakwambia tafuta contact zao uwapigie. Au Kama upo dar nenda pale physical.
Wakuu habari,
Yeyote anayejua naomba anifahamishe, ni wapi hivyo vyuo vilipo, gharama zake na muda wa kusoma
mkuu utaleta mrejesho ukifatilia fomu yao..namie nahitajiWakuu habari,
Yeyote anayejua naomba anifahamishe, ni wapi hivyo vyuo vilipo, gharama zake na muda wa kusoma
Mkuu nimesoma physics o level na advance, zote milifaulu,Simu,computer,radio. Vyote ni physics.
Soma physics hutasumbuka na kuchomeka kwa kubahatisha bahatisha.
Soma basics ekectronics i.e
. Digital
. Analogue.
na Electromagnetism kidogo
Usipende shortcut.
Kasome electronics Au physis bahati mbaya hakunaga short kozi za hio sayansi. Then ndio uende huko mtaani kwa kina fundi sudi
Zipo online course ika bei yake mbaya bora ujitupe college miaka 2.
Ingoa you tube mtafute jamaa mmoja abaitwa Dr. ben labaratory, uta ambulua ambulia jinsi ya kucheza na hizo devices.
Nakushauri ujifunze hio sayansi kabla ya mautundu.
Mkuu kama najisomesha uhakika wa nafasi upo?kama utajisomesha sawa ila kama ni program ya waziri maombi yamekwisha jana
inategemea uko mkoa gani kama ni dar nenda veta kama ni Dodoma ni don bosco na veta chang'ombe pia
hata kesho unaanzaMkuu kama najisomesha uhakika wa nafasi upo?
Ada ni Tsh ngapi na unasoma kwa muda ganihata kesho unaanza