Mimi nakushauri achana na kusoma IT kama ada ni mgogoro jifunze skills unazoweza ingiza pesa haraka uku unapambania mambo mengine.
Soma Graphic design, copywriting, videography & photography unaweza soma mwenyewe hata online. Ukiwa na hizi skills ni wewe tu sasa uamue ulale njaa au uingize pesa.