MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Miongoni mwa vitu vinavyovutia humu JF ni huu mtindo
wa kutumia avatar pictures mbali mbali katika majina yetu
Tafadhari taja na kuweka picha ya avatar ambayo huwa ukiiona
tu unabaki kucheka na kutabasamu wewe mwenyewe.
Miongoni mwa avatar zinazoniachaga hoi kwa kicheko ni:
mkuu Fekifeki
Mkuu stroke
mkuu KUNGUNI WA Ulaya

Last edited by a moderator: