Je Ngorongoro ni ya Maasai, Umma au CCM?

KirilOriginal

JF-Expert Member
Feb 13, 2012
2,161
1,147
Amani iwe nanyi!
Kwa muda sasa kwa baadhi ya wale wanaokaa maeneo ya Ngorongoro kumekuwa na maneno ambayo
tungeomba kupata ufafanuzi kuhusu nani hasa anahusika na NCAA (Ngorongoro Conservation Area Authority)

Mfano Mapato ya NCAA yanakwenda wapi ( ni mfuko upi unaohifadhi mapato) maana maisha ya wenyeji (Maasai)
ni duni kulinganisha na mapato.

Pia upo wasiwasi kuwa NCAA ni mradi wa chama tawala CCM kwa kisingizio cha Maasai maana hata safu ya uongozi imekaa ki-ccm zaidi.

Mwenye neno juu ya hili naomba msaada.

Asante.
 
Ngorongoro ni ya ccm,maasai walitakiwa kuhama tangu kitambo na pesa ilikwishatolewa na wwf,ila Msekwa kaila na katoa tangazo maasai haruhusiwi kulima hata bustani na mamlaka hawatoi msaada wowote pia safu ya uongozi ni kutoka kanda ya ziwa,wenyeji wameishia kufyagia vyoo
 
Ngoja niingize taasisi flani ya kimataifa eneo hilo tufanye utafiti then tuitangazie dunia kinachoendelea tanzania kupitia viongozi.
Shenzi.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom