Mkuu hyphym
Ukitaka kumjua sana, mzee Madiba, jaribu ku-google na tafuta link kibao anza na hapahttp://www.google.co.tz/url?sa=t&rc...uoCoDQ&usg=AFQjCNFRkTHgiCMc9sH3rhEZh_oC4jb67g
Get well soon Madiba. Hata ukimwangalia tu usoni utaona ni innocent. He is very calm smiling bila wasiwasi. Hakika upone kabisa hiyo re-curring Lung Infection
mtoa mada ni zao la necta 2013
Sidhani kama Mandela anastahili sana sifa anazopewa na jitihada alizofanya juu ya ukombozi wa bata la Africa..Ni wiki chache zmepita ilipotelewa taarifa inayoonesha Mugabe akimponda Mandela kwamba he was too soft to whites kiasi ambacho mpaka hao weupe wachache wakimiliki njia kuu za kiuchumi huko S.A.Alishindwa kubadilishwa maisha ya watu wa Soweto ambako ndipo vuguvugu la mageuzi lilipoanzia na mpaka sasa ni miongoni mwa sehemu maskini huko S.A.Ni miaka so mingi baada ya kutoka jela ndipo USA walipomtoa katika kundi la TERRORISTS na he was banned to enter the USA soil,na hlo lilifanyka tuu baada ya kuridhiana na weupe wachache wa S.A.So,in short hana mchango wowote ktk bata la Africa kama ilivyokuwa kwa Nyerere, Nkurumah, Gaddafi ni..

Ni kweli kabisa ulivyosema, lakini swali LANGU ni kulinganisha MCHANGO wa Mandela na viongozi wengine kama Mwl. Nyerere katika AFRIKA kama bara ukiachia ndani ya nchi zao ili kupata picha ya Kiongozi mwenye mchango zaidi Afrika.Mandela attaheshimika kwa kuwa aliwekwa ndani kipindi kirefu na alipopata urais alas kipindi kimoja tofauti na Nyerere mara hungatuka na baada ya Muda husema mara wazee mara vijana wamemuomba aendelee kuwa madarakani
And for more Updates...follow this https://www.jamiiforums.com/interna...delas-health-you-can-follow-it-from-here.html...hapa hapa Jf!!