Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,456
- 1,937
Mandela ana heshima yeke na viongozi wengine pia wana heshima yao.Heshima ya mandela inakuja kwa yeye kukaa jela muda mrefu na kisha kuwa raisi wa kwanza wa S.A.Lakini pia kitendo cha yeye kueneza siasa ya kutobaguana Africa kusini kati ya whites na mablack.Zaidi ya hapo ni mpigania uhuru wa kawaida kama walivo akina Khwame nkuruma na akina Mugabe,kenith kaunda na akina mwalimu.
Lazima tukubali pia kuwa hata kule kueneza siasa ya kutobaguana mandela alishinikizwa na wazungu maana kulikuwa hakun jinsi.Asingeweza kusema waondoke kama kwa nchi zingine walisha wekeza kitambo na ingekuwa ngumu.