Kutokana na hali ilivyo sasa ya ukosefu ufanisi kwa viongozi, hasa wanasiasa wetu, ningependa tujadili hili suala la ndoa kama lina mchango wowote katika kumfanya kiongozi awe mwajibikaji, awe mwenye ufanisi mwisho awe kiongozi bora.
Katika mjadala huu, case study iwe CHADEMA, kwani katika chama hiki kuna viongozi wake wengi wako nje ya ndoa, lakini pia utendaji wao sio wa kuridhisha, hali inayo pelekea niwe na shahuku kama kuna mahusiano ya ndoa na uongozi.
N.B: kumbuka hata rais mstaafu,mzee Mkapa, alilazimika kumrudia Mama Anna Mkapa ili tu aweze kukidhi kuingia Ikulu.