Je ndoa inapovunjika Mahali inarudi..?

Je ndoa inapovunjika Mahali inarudi..?

Hiyo Ni andhaa kanoon... Kama ng'ombe walijifia zamani... Hela tukanywea ugimbi... Blanketi mtoto kakojolea tunarudishaje kwa mfano. Nani anarudisha mzazi au binti?
Binti kachoka kipigo kila siku anavimbishwa harafu eti mahali arudishe?
Hiyo Ni andhaa kanoon Sheria kipofu haioni
As the LAW has STIPULATE...
 
Sheria hiyo hiyo inadefine mahali kuwa Ni Gift zawadi gani inarudishwa
 
Ndio....

Sheria inaweka bayana kwamba endapo ndoa itavunjika basi MAHALI ITARUDI.

Hii ni kwa mujibu wa sheria ya kimila ya Hali ya watu, pia imerejewa na uamuzi wa Makupila Chalo Vs Mninda Mdama Daawa No. 120, Mwaka 1995.

Pia katika hukumu ya Maagwi Kimito Vs Gibeni Werema, Madai No. 132 ya mwaka 1985.

VIJANA KAZI KWENU, MSIOGOPE KUOA ""MAHALI INARUDI MKISHINDWANA""

#YNWA
#ASANTE

= mahari

Kama ni ndoa ya Kiislam ina kanuni zake. Inaweza ikarudi na inaweza isirudi inategemea na mlivyoachana.
 
Ndio....

Sheria inaweka bayana kwamba endapo ndoa itavunjika basi MAHALI ITARUDI.

Hii ni kwa mujibu wa sheria ya kimila ya Hali ya watu, pia imerejewa na uamuzi wa Makupila Chalo Vs Mninda Mdama Daawa No. 120, Mwaka 1995.

Pia katika hukumu ya Maagwi Kimito Vs Gibeni Werema, Madai No. 132 ya mwaka 1985.

VIJANA KAZI KWENU, MSIOGOPE KUOA ""MAHALI INARUDI MKISHINDWANA""

#YNWA
#ASANTE
kiendacho kwa mganga
 
Let's talk about the COUNTRY LAWS and REGULATION..

Leave the "DINI" aside..
Sheria za ndoa za Kiislam nazo zinakubalika Tanzania.

Hata mleta mada kaongelea sheria za kimila au hujamsoma vizuri?
 
What is mahari by the way, bride price....!!!

If its a bill return the receipt for one to be refunded. And if you paid the brideprice without receiving a government receipt and yet you expect the same government law to let/assist you being refunded.....

Labda uwakute wastaarabu, ukiwakuta familia watata kama Kasinde utatafuta kulipa faini badala ya kurudishiwa the said bride price.

By the way, is it mahari or mahali..... May be you meant something else....

Platimum Matata.
Amen Matata...

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri huwa ni MAHARI kwa bride price
 
Kama inarudi mfano mnawatoto je ataensa nao mke? Miaka 5 tupo wote eti uje kudai
mahari wakati tumeachana je urembo wa miaka hiyo utarushwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom