Je ndoa inapovunjika Mahali inarudi..?

Je ndoa inapovunjika Mahali inarudi..?

ndio nimesoma haiwezi rudi hizo zimetungwa na binadamu kama wew hatambuzi wanasheria zao

umehudumiwa miaka yote hiyo bado mahari irudi huyo atakuwa hajitambui

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nani hajitambui...?

Nimeona ndoa kibao mahari zimerudi..

Nyingi sema wanaume wanaona aibu kufuatilia mahari ila nimeona familia inalipa ngombe 38 mbuzi 120...ndoa ilifungwa mwaka 1985...baba mkwe akalia mahakamani ikabidi mme aone aibu amalize kesi.
 
Sheria ya dini ya kiislamu inategemea inaweza kurudi ama kutorudi. Ila Kama mwanamke ushaishi nae kwa muda flani ukaachana nae hairudi na Kama una deni hukumaliza mahari yake inabidi ulilipe hata Kama mmeachana .
 
anaye thubutu kudai mahari irudi
amekuzalia watoto amekufinyia mengi
hata kama sheria inasema
mshipa wa aibu uwepo jamani khaaa

Mara nyingi wanaodai wanataka kuwakomoa wanawake....unakuta mwanamke kakukimbia kaenda kwa mwanaume mwenzio bila ugomvi.
 
Sheria ya dini ya kiislamu inategemea inaweza kurudi ama kutorudi. Ila Kama mwanamke ushaishi nae kwa muda flani ukaachana nae hairudi na Kama una deni hukumaliza mahari yake inabidi ulilipe hata Kama mmeachana .
Nchi yetu inaongozwa na sheria zilizotungwa na bunge na sio za kislaamu.

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom