Je, ndoa hii nani mkosaji?

Hakunaga fimbo Kali Kama chozi la mwanamke asiye na hatia pindi anapofanyiwa ukatili. Tatizo unalo wewe kaka. Hata kwa Nazi 10 mkono wa tembo hauwi mtamu uchemshwapo kwenye jungu la mchunga[emoji108]
 
Nimekupa mkuu,kumbuka mambo yote haya wazazi wangu hawayajui,isipokua ndgu wa mke wangu ndio wanajua,sijawahi simulia hata rafiki maana ni mazito saaana,
Shirikisha ndugu wa upande wako pia wajue black and white,na icho kituko toa ndani mapema sana ila pia kabla ya maamuzi yote ni vizuri mkaçheki na afya zenu kwanza ili ujue kama unapiga chini basi na wee uko salama.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
We mapenzi ni chakula ya roho so ulipoanza tu mapenzi na huyo dada chakula kilikuwa kimeshachacha
 
Hakunaga fimbo Kali Kama chozi la mwanamke asiye na hatia pindi anapofanyiwa ukatili. Tatizo unalo wewe kaka. Hata kwa Nazi 10 mkono wa tembo hauwi mtamu uchemshwapo kwenye jungu la mchunga[emoji108]
Mafumbo,sasa nini kifanyike
 
Hilo tatizo wanaume wengi linawakumba mnashindwa kucheza karata zenu vizuri pale mnapopendwa,mnaishia kuwaona wanaowapenda kama vile kitu gani sijui.
God is very fair kwa kuwanyoosha hapa hapa duniani,

Relax,huyo dada hafai hata kidogo..
Jipe akili yako mda baada ya kuachana nae,usivamie mahusiano mapya.
Baadae kabisa jaribu kum-consult mwanamke uliempotezea mda,believe me bado anakupenda ndo maana hataki mwanaume mwengine.
 
Asante boss
 
Mtenda, hutendwa. Kumuacha msichana uliyemotoa bikira ten akiwa hana kosa lolote ulikosea sana. Bila shaka unajuta sana. na utajuta milele
 
Duuuh. Pole sana mkuu kwa maisha unayopitia, ila wanasema ukishindwa kumbadilisha mtu katika hatua za mahusiano ya kawaida hatabadilika kamwe... Na chozi la mtu haliendi bure
 
Acha hasira mkuu
 
Mkuu nishamuomba radhi saaana na akaridhia, ila akasema hawezi olewa maaana hatatokea mwanaume wa kumwamni, yupo Bunda Mara kwa sasa kaajiriwa mamlaka ya mapato hataki kusikia kiumbe aitwae mwanaume.
Kwa aina hiyo bado hajaachilia msamaa wako, mtafute uongee nae kwa Mara nyingine tena labda ataachilia uchungu alokua nao moyoni
 
mimi kama mwanamke nakuambia hapo huna mke, mkeo yupo bunda fanya utaratibu ukaishi na huyo, usiangalie watu watakuonaje ww fuata moyo wako. Huyu atakuua.
 
dah tabia haibadiliki hata siku moja yani.....MKE WAKO HAWEZ HAWEZ KUACHA HATA SIKU MOJA...........
 
Dahhhhhhhhhhhhhhhhhh, pole sana mkuu. Ni kawaida sana hiyo kwenye dunia ya sasa. Wengi sana wapo kwenye uhusiano wa aina hiyo. Ndio maana tunashauriwa tuchunguzane kabla ya kuoana, hasa katika imaan na tabia. Zake na za wazazi wake. Out of that, ni moto wa jahanamu tu.
Dawa yake mpotezee. Ama piga kimya au piga chini, tafuta mwingine unayeendana naye.
Vinginevyo utakufa muda si wako.
 
Nafikiri inajua kuwa wewe ndio mkosaji. Si mkweli wala mwaminifu kwa wenza wako.
Huoni dalili za yanayotokea na u mdhaifu unaejidanganya kuwa yanayotokea yatabadilika ukichukua hatua nzito zaidi.
 
Nimekuonea huruma sana,pole sana lkn shida umesha funga ndoa!na biblia inasema usimwache mke wa ujana wako.

~Nakuomba omba Mungu sana Muombee mkeo tubu kwa ajilo yake,maana biblia inasema mkeo akizin na ww umezin pia maana nyie ni mwili 1 kiroho.ss funga na kuomba
 
Kosa ni lako. Yaani we una mkamata mwanamke na michepuko. Mara nyingi.halafu bado unaoa ukiwa na imani atabadilika,, kweli kabisa ulikuwa unafikiria sawa sawa??????? Tabia ni kama ngozi huwezi kuivua
 
Nafikiri inajua kuwa wewe ndio mkosaji. Si mkweli wala mwaminifu kwa wenza wako.
Huoni dalili za yanayotokea na u mdhaifu unaejidanganya kuwa yanayotokea yatabadilika ukichukua hatua nzito zaidi.
Kosa langu kubwa kwa huyu mke ni lipi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…