Je, nawezaje kutengeneza app kwenye play store

Je, nawezaje kutengeneza app kwenye play store

A-town

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Posts
494
Reaction score
169
Wdau msaada kwenye tuta,
Naomba kufahamu kama naweza kutengeneza app nikaiweka kwenye playstore au ni mpaka niwaone wataalamu?
 
Wdau msaada kwenye tuta,
Naomba kufahamu kama naweza kutengeneza app nikaiweka kwenye playstore au ni mpaka niwaone wataalamu?


Humu jf kuna vituko sana! Sasa suala la wewe kuweza au kutoweza kutengeneza app unataka sisi ndio tukujibu wakati mtengenezaji ni wewe, uko makini kweli?
 
kama unajua kutengeneza app bc lazima ujue it is possible o not possible kuweka app yako kwenye play store......unlesss otherwise hata app yenyewe hujui kutengeneza
 
Unataka kujifunza namna ya kutengeneza app au?

Kama kuna app unahitaji kuwa nayo na hujuwi uanzie wapi ingia fiverr watakutengenezea app yoyote kwa dola 5 tu
 
Back
Top Bottom