Mtafiti Pro
Member
- May 5, 2018
- 20
- 7
Kivipi ndugu yangu, naomba nipe njia.Ndiyo, inawezekana
Nenda kwenye shule yenye kituo cha watahiniwa binafsi, kisha omba kusajiliwa (mwaka huu umechelewa ingawa unaweza jiandikisha ila kuna penalt) kufanya mitahani yako.Kivipi ndugu yangu, naomba nipe njia.
Hautaweza kumudu kumaliza mada zote za masomo matatu kwa 1M.Inawezekana Ndani ya mwaka Nipe 1M nikukatie phy,chem na Mathematics biology inaeleweka nitakupa notes zimenyooka kama rula.....advance tutapiga advanced mathematics pekee.
Hapo nazungumiza ni o level peke yake.....si umeona advancce nimesema tutasoma adv mathe pekee.....after all Muda wa kumaliza inategemeq na kichwa chake ila kama alimaliza 2010 imekuwa kitambo sana asee.Hautaweza kumudu kumaliza mada zote za masomo matatu kwa 1M.
Contents za Physics, Chemistry na Advanced maths zinahitaji muda mwingi kumfundisha mtu.
Labda sijajua zama hizi huenda mtaala umebadilika, ila zama zetu huko nyuma ilikuwa shughuli pevu.
Mechanics tu ilihitaji miezi, ukija adv maths application za vectors au calculus tu unatabika nazo siku za kutosha, hapo hatujagusia chemistry n.k n.k
Nimekuelewa kiongoziHapo nazungumiza ni o level peke yake.....si umeona advancce nimesema tutasoma adv mathe pekee.....after all Muda wa kumaliza inategemeq na kichwa chake ila kama alimaliza 2010 imekuwa kitambo sana asee.
Bora umemuambia ukweli kabisaa,Hautaweza kumudu kumaliza mada zote za masomo matatu kwa 1M.
Contents za Physics, Chemistry na Advanced maths zinahitaji muda mwingi kumfundisha mtu.
Labda sijajua zama hizi huenda mtaala umebadilika, ila zama zetu huko nyuma ilikuwa shughuli pevu.
Mechanics tu ilihitaji miezi, ukija adv maths application za vectors au calculus tu unatabika nazo siku za kutosha, hapo hatujagusia chemistry n.k n.k
Chuo gani?Inawezekana Kama Mimi form 4 nilisoma government science, advance nimesoma pc mwaka mmoja pcm nikagonga two ya 10 nipo zangu automobile engineering kikubwa ni kukaza sana tena sana mzee
NIT dar mabiboChuo gani?
Inawezekana Kama Mimi form 4 nilisoma government science, advance nimesoma pc mwaka mmoja pcm nikagonga two ya 10 nipo zangu automobile engineering kikubwa ni kukaza sana tena sana mzee
Kumbe ni hapo.NIT dar mabibo