Rashidi7
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 612
- 212
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2018 mchepuo wa ECA na nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha Dar es salaam,kitivo cha uhasibu .Swali langu je,naweza kuwa Programmer au Blogger mzuri kwa kujisomea kupitia video tutorials na kwa marafiki ?au aina ya elimu yangu haitaniwezesha kufanikisha swala hili.?Asante.