Je, naweza kusoma Masters ya Hesabu au Statistics?

Uptown_tz

Member
Oct 13, 2019
46
24
Level ya degree sijasoma kozi ya hesabu (lmv). Lakini nina A ya advanced mathematics naweza kusoma Masters ya Math au Statistics coz ninamsingi mzuri A level
 
Ulisoma kozi gani? Kama unataka masters ya statistics lazima degree ya kwanza uwe umesoma statistics au hesabu au actuarial science, computer science majoring in Statistics, ambapo kwa mtu mwenye bachelor ya math anakigezo Cha kusoma applied Statistics.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisoma kozi gan? Kama unataka masters ya statistics lazima degree ya kwanza uwe umesoma statistics au hesabu au actuarial science,computer science majoring in Statistics, ambapo kwa mtu mwenye bachelor ya math anakigezo Cha kusoma applied Statistics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bachelor of science in land management and valuation
 
Hawezi pata mkuu tena geography ndio kabisa haina mahusiano yoyote na math n statistics.

Ushauri ulioutoa hapo juu ulikuwa sawa kabisa . Actuarial science, statistics, computer science, mathematics
Ndio huwa wanachukulia katika masters ya statistics, mathematics, pia mathematical modelling.

Ushauri labda anaweza tafuta njia akaanzia post graduate anaweza fikia lengo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi kama marekani unaweza, watakupa nafasi ya kuziba mapengo. Hapa kwetu sidhani, wakiangalia transcript yako hawata ona uhusiano kati ya degree yako na mathematics.
 
Hawezi pata mkuu tena geography ndio kabisa haina mahusiano yoyote na math n statistics.

Ushauri ulioutoa hapo juu ulikuwa sawa kabisa . Actuarial science, statistics, computer science, mathematics
Ndio huwa wanachukulia katika masters ya statistics, mathematics, pia mathematical modelling.

Ushauri labda anaweza tafuta njia akaanzia post graduate anaweza fikia lengo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu aliyesoma social science yoyote au kozi yoyote anaweza kusoma applied statistics. Mfano wa applied statistics naweza Kusema kwa wale wanaoomba thesis huwa wanasoma foundation kozi za hypothesis,mambo ya confidence internal, normal distribution hivyo vyote husoma Kwa uhalisia lakin wale wa statistics theory ndio lazim wawe na basic ya statistics

Labda inawezekana mkuu . Basically na degree ya Actuarial science huwa na mpango baadae nisome either Msc in statistics au Mathematical modelling.

Kwenye prospectus course ambazo mtu anatakiwa azisome nimuendelezo kabisa wa course code za degree ya kwanza

Vitu kama multivariate analysis, basian statistics, Non parametric statistics, probability and random process pia operation research, kidogo mtu kama hana msingi mzuri wa hesabu sidhani kama wanaweza mchukua.

Ila hiyo applied statistics sijaipeleleza vizuri labda watakuwa wanachukua social science yoyote.

Ndio maana nikasema ajaribu ikishindikana apige post graduate ya ishu inayoendana na hesabu ndio aendee vizuri

Pamoja sana brother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulisoma kozi gan? Kama unataka masters ya statistics lazima degree ya kwanza uwe umesoma statistics au hesabu au actuarial science,computer science majoring in Statistics, ambapo kwa mtu mwenye bachelor ya math anakigezo Cha kusoma applied Statistics.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa
 
Labda inawezekana mkuu . Basically na degree ya Actuarial science huwa na mpango baadae nisome either Msc in statistics au Mathematical modelling.

Kwenye prospectus course ambazo mtu anatakiwa azisome nimuendelezo kabisa wa course code za degree ya kwanza

Vitu kama multivariate analysis, basian statistics, Non parametric statistics, probability and random process pia operation research, kidogo mtu kama hana msingi mzuri wa hesabu sidhani kama wanaweza mchukua.

Ila hiyo applied statistics sijaipeleleza vizuri labda watakuwa wanachukua social science yoyote.

Ndio maana nikasema ajaribu ikishindikana apige post graduate ya ishu inayoendana na hesabu ndio aendee vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hii coarse nilikuja kuijua nishafika chuo kabisa 2014 laiti ningeijua mapema sizani wangeniacha
 
Hawezi pata mkuu tena geography ndio kabisa haina mahusiano yoyote na math n statistics.

Ushauri ulioutoa hapo juu ulikuwa sawa kabisa . Actuarial science, statistics, computer science, mathematics
Ndio huwa wanachukulia katika masters ya statistics, mathematics, pia mathematical modelling.

Ushauri labda anaweza tafuta njia akaanzia post graduate anaweza fikia lengo lake

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi mkuu msc math modelling ni nzuri au miyeyusho..maana mimi nina msingi wa math ktk undergraduate huwa najiuliza nikaipige au
 
Level ya degree sijasoma kozi ya hesabu (lmv). Lakini nina A ya advanced mathematics naweza kusoma Masters ya Math au Statistics coz ninamsingi mzuri A level
Humu utapata majibu mchanganyiko, ingia kwa website ya chuo unachotaka angalia criteria za masters unayoitaka kama zinaendana na nachelor uliyonayo

Na kama criteria hazipo clear sana, omba mwongozo kwa chuo husika
 
Kuna pathway mbili, pathway ya Kwanza msc in statistics (theory) ambayo lazima uwe na first degree majoring in statistics, pathway ya pili Ni msc in statistics (applied ) ambayo mtu yoyote anaweza kusoma. Cha kushangaza kozi nying utakazo Soma unaweza share na wa theory pathway,NB huko juu nikasema kwa mtu ambaye Hana msingi wa hesabu huko juu department itamlazimu ahame hii kozi sababu itamtesa, lakin kwenye criteria haijasema
IMG_20200530_225537_917.jpg
 
Kuna pathway mbili, pathway ya Kwanza msc in statistics (theory) ambayo lazima uwe na first degree majoring in statistics, pathway ya pili Ni msc in statistics (applied ) ambayo mtu yoyote anaweza kusoma. Cha kushangaza kozi nying utakazo Soma unaweza share na wa theory pathway,NB huko juu nikasema kwa mtu ambaye Hana msingi wa hesabu huko juu department itamlazimu ahame hii kozi sababu itamtesa, lakin kwenye criteria haijasema View attachment 1463884
Sawa kiongozi
 
Back
Top Bottom