Je, naweza kusave SMS kwenye SD CARD?

Je, naweza kusave SMS kwenye SD CARD?

Simu za Symbian kama E52 inakaa na chaji uhakika siku kadhaa. Pia kai os si mbaya, sema backup ya sms kwenye Kai os ina mlolongo kidogo.

Ila kama smartphone haikusumbui hio Xz1 compact ni nzuri sana, kidogo sana hakina utofauti sana na vitochi, pia inakaa sana na charge, halafu bei zake used pia ni ndogo chini ya laki 2.

Cha muhimu hakikisha tu battery health ipo poa.
Shida ya hizo XZ1 sidhani kama naweza zipata hapa mkoani nilipo, je huko Dar zinapatikana?
 
Swali hili nilikuwa najiuliza sana, kwanini mawakala wengi wanatumia viswaswadu ?

Alafu pili, hivi huwezi kutumia App husika ( mfano app ya Airtel money, M pesa, Tigo pesa) ukiwa wakala ili urahisishe kazi ?
Zina menyu tofauti na operators hawajatoa apps za mawakala.
Niliulyoiona ni ya lipa kwa mpesa tu
 
Simu za Symbian kama E52 inakaa na chaji uhakika siku kadhaa. Pia kai os si mbaya, sema backup ya sms kwenye Kai os ina mlolongo kidogo.

Ila kama smartphone haikusumbui hio Xz1 compact ni nzuri sana, kidogo sana hakina utofauti sana na vitochi, pia inakaa sana na charge, halafu bei zake used pia ni ndogo chini ya laki 2.

Cha muhimu hakikisha tu battery health ipo poa.
Mrejesho, katika pekuapekua zangu stoo nilikutana na Nokia ya zamani niliyowahi kuitelekeza inaitwa Nokia 206, nilihisi inaweza nifaa maana ina sifa ulizozisema (ina option ya backup), ila shida inayonisumbua hadi sasa ni kwamba kupata internet kwenye hii simu ni kama imeshindikana, nilienda ofisi za tigo wakafanya configuration zao ila nikibrowse napata error 005, nilienda kwa fundi ninayemuamini anasema hizo simu zinasumbuaga internet ni kama system yake ya internet haiendani na mfumo wa sasa kwahiyo hakutaka hata kuigusa. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili ili nisiendelee kusumbuka nayo?
PXL_20230106_151543873.PORTRAIT.jpg
 
Mrejesho, katika pekuapekua zangu stoo nilikutana na Nokia ya zamani niliyowahi kuitelekeza inaitwa Nokia 206, nilihisi inaweza nifaa maana ina sifa ulizozisema (ina option ya backup), ila shida inayonisumbua hadi sasa ni kwamba kupata internet kwenye hii simu ni kama imeshindikana, nilienda ofisi za tigo wakafanya configuration zao ila nikibrowse napata error 005, nilienda kwa fundi ninayemuamini anasema hizo simu zinasumbuaga internet ni kama system yake ya internet haiendani na mfumo wa sasa kwahiyo hakutaka hata kuigusa. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili ili nisiendelee kusumbuka nayo?View attachment 2474629
Setting then connectivity then mobile data then Access point tengeneza mwenyewe manual apn hapo name andika chochote, Apn andika internet halafu save.
 
Setting then connectivity then mobile data then Access point tengeneza mwenyewe manual apn hapo name andika chochote, Apn andika internet halafu save.
Nimeshajaribu sana ila bado mzigo unakataa
20230110_125629.jpg
 
Setting then connectivity then mobile data then Access point tengeneza mwenyewe manual apn hapo name andika chochote, Apn andika internet halafu save.
Sema nilichoifurahia inaonesha intenal memory yake inauwezo wa kupokea msg nyingi, maana nishafanya nayo kazi siku ya 3 bila kufuta msg ila inaonesha bado inadai sana, kwahiyo hata bila backup inaweza nisaidia
PXL_20230110_095759602.jpg
 
Je smartphone gani ndogo inaweza kufaa kwa kazi hii, yaani inaweza kukaa na chaji muda mrefu na kuperform vizuri?
Smartphone zilitengenezwaza kunzia 2022 hadi leo ziko vizuri sana kwa chaji hasa makampuni yanayoeleweka kama Samsung. Yangu pamoja na kuingia Internet inatoboa siku moja na around nusu siku.
 
Smartphone zilitengenezwaza kunzia 2022 hadi leo ziko vizuri sana kwa chaji hasa makampuni yanayoeleweka kama Samsung. Yangu pamoja na kuingia Internet inatoboa siku moja na around nusu siku.
Kweli, ila keyboard ya smartphone sio rafiki kwa kazi hii
 
Back
Top Bottom