screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,902
- 15,931
Mimi ni wakala wa mitandao ya simu, eneo nililopo lina wateja wengi hivyo kuna uwezekano wa kuhudumia wateja zaidi ya 150 kwa siku, shida ni kwamba huwa nakuwa na uraratibu wa kurekodi meseji zote kwenye vitabu vya mitandao husika kwa ajili ya usalama, kwa sasa hiyo kazi naona imekuwa ngumu kwa sababu ofisi imekuwa na mambo mengi na idadi ya wahudumu ni ileile.
Je, nnawezaje kuzisave msg zote (mfano za mwezi mzima) bila kuziandika, maana changamoto ya hizi simu tunazotumia kwa ajili kuhudumia wateja ni hizi ndogo zenye uwezo wa kutunza msg chache. Asante
Je, nnawezaje kuzisave msg zote (mfano za mwezi mzima) bila kuziandika, maana changamoto ya hizi simu tunazotumia kwa ajili kuhudumia wateja ni hizi ndogo zenye uwezo wa kutunza msg chache. Asante