Ndio inawezekana na ndio itaitwa degree ya pili (2nd degree)Mfano nimefanya Bachelor of Accounting nikamaliza mwaka huu, je mwakani naweza kutumia matokeo yangu ya form six kuapply upya tena TCU nikafanya degree tofauti, labda degree ya ICT.
ahsanteNdio inawezekana na ndio itaitwa degree ya pili (2nd degree)
Mkopo utapata kama kawaida??inawezekana sana....hata mwaka huu ungeunganisha inawezekana.....ni PM nikupe ujanja mie niliunganisha in the same year
mkopo hupati labda mpaka ulipe deni unalodaiwa na bodi ndo wanakupa tenaMkopo utapata kama kawaida??
Second degree sio kua ni master? Au sijui hilo?Ndio inawezekana na ndio itaitwa degree ya pili (2nd degree)
Na hili nilitaka kuuliza, but kuomba mkopo sio lazimaKama ya kwanza ulisoma kwa mkopo sidhani kama hiyo ya pili utakopeshwa tena otherwise HESLB ina mfumo mbovu sana wa utoaji mikopo.
Kama unajisomesha then sioni ugumu wowote hapo.
Hupati mkopo. Nani akupe mkopo mwingine akati ata huo wa mwanzo haujaulipa!Mkopo utapata kama kawaida??