Je naweza kupata mkopo???

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
352
Nimesoma PCM pale Galanos s.s Tanga nikamaliza form 6 mwaka 2015 matokeo
Phy-B Chem-C A/math-B+ G/S-D o/level nimesoma shule ya kata (kiara s.s) nilihitimu 2012 nikapata DIV II ya 18 nataka mwaka huu niapply Petroleum Geology UDSM. Naomba ushauri wenu wana forum je naweza kupata mkopo na admission hpo UDSM, mbarikiwe woote!!!
 
Mkopo utapata, ila kwenye admission ya chuo inategemeana na competition iliyopo haswa ya matokeo ya six ya mwaka huu yatakuaje
Ila naamini unapata kila kitu sawia Mwenyezi akutangulie
 
Ndugu hizo inshu za Mafuta Zitakusumbua tu na zinataka connection kwenye Kusaka ajira, Kwa Ushauri tu omba Electrical au Civil hapo COET ukimaliza izo course salama Huwezi lala njaa
 
Ndugu hizo inshu za Mafuta Zitakusumbua tu na zinataka connection kwenye Kusaka ajira, Kwa Ushauri tu omba Electrical au Civil hapo COET ukimaliza izo course salama Huwezi lala njaa
Ahsante mkuu ubarikiwe sana
 
Alafu mkuu huezi kwenda petroleum geology kwa matokeo hayoo labda ufaulu wa mwaka huu ukiwa mbovu
 
Mkopo unapata hata 100% na adimision unaweza pata coz hyo programme ipo CONAS but ingekuwa COET hapo ndo ingekuwa na ugum kidogo coz competition huwa kubwa sana..!! Nakutakia mafanikio mema .
 
Mkopo unapata hata 100% na adimision unaweza pata coz hyo programme ipo CONAS but ingekuwa COET hapo ndo ingekuwa na ugum kidogo coz competition huwa kubwa sana..!! Nakutakia mafanikio mema .
Ubarikiwe sana!!!
 
Back
Top Bottom