Je, Naweza kudownload series za kikorea kwenye folder moja?

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
232
650
Wakuu salamu.

Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder.

Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe.Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya episode moja moja?

Hizo site kama zipo naomba kuzifahamu!
 
Wakuu salamu.
Naomba kuuliza,hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder.

Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe.Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya episode moja moja?

Hizo site kama zipo naomba kuzifahamu!
Angalia video hii inaweza kukusaidia

Wakuu salamu.

Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder.

Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe.Hakuna namna ambayo naweza kupata season ikiwa ndani ya folder moja afu Mimi ni download ilo folder lote badala ya episode moja moja?

Hizo site kama zipo naomba kuzifahamu!
Inategemea na mahala unapodownloadia,
1. Torrent inaweza download episode zote kama kuna mtu ameweka.

2. Open Directories

3. Youtube kama zipo kwenye playlist kuna software kama 4k video downloader ama hata extension za browser.

Na hakuna formula maalumu kwa series zote inategemea na series na series, hivyo search kutokana na jina la series.
 
Kuna zile series zinazowekwaga kwa server moja kwa moja, tunazozipata kwa kuandika index of (jina la movie) zilikuwa zinagoma kupakuliwa kwa njia tuliyozoea zamani, kuwa ukii-click tu basi inaanza kuteremka.

Nimepata ujuzi kwenye mtandao nikadownload Application inaitwa JDownloader 2 hapa JDownloader.org - Official Homepage , aisee inapakua kila kitu. Binafsi huwa napenda hizi za index maana bapata zenye resolution ndogo (480p) zikiwa pia na ukubwa mdogo ambapo kwangu zinanifaa kabisa kutazama tofauti na torrent ambako files nyingi huwa zina ukubwa mkubwa na resolution kubwa pia. Unachofanya baada ya kuinstall hiyo application, ni kufuungua application iwe inarun halafu unakopi link yenye directory uitakayo kwenye browser, application itadaka link hiyo automatically au wewe mwenyewe utaenda kwenye tab ya linkgrabber na utabonyeza alama ya kujumlisha link itajipest halafu italeta unavyotaka kudownload, utaweza kuvipunguza usivyotaka kwa kufuta manually na baada ya hapo unabonyeza alama ya PLAY, mzigo unaanza kushuka.

J Downloader 2.png
 
View attachment 1393324
Hizi ndio zinaitwa open directories. Njia rahisi ni kutumia filechef ambayo inasearch kwa niaba yako google.

Filechef.com

Na torrent inategemea na website kuna torrent za quality kubwa kwa mb ndogo hasa x265(hevc). Unaweza kuta ni mb chini ya 100 episode na ikawa ni HD.

Na idm pia ina uwezo wa kugrab ukurusa mzima.
 
Back
Top Bottom