Je, Nassari kujiunga CCM?

Subiri nyumbu zije zikutolee povu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Nafikiri umesahau Mbowe alivyo na uhusiano wa karibu na Chadema. Kaweka mizizi. Sasa mtu anaejisikia hamutaki Mbowe yeye ndo ahame Chadema. Tangu lini Mkiti amewahi kuhama chama akawachia wengine watu baki? Mku piga galagaza kama kuna wabunge ndani ya chadema hawamutaki Mbowe hapo ndo utaona wengi watahama sio Mkiti.
 
Kumbuka kuwa Mbowe yupo kwa maslahi yake binafsi na sio watanzania.

Hili watu wengi hasa wale wa makabila mengine zaidi ya 120 yaliyosalia wameshalibaini.
Mimi hua nazunguka maeneo mengi ya Tanzania ukweli watu wengi sana hawataki kabisa kumsikia Mbowe.
Wengi wanamuona kama MTU laghai mpenda Fedha na Mbinafsi asiyejali maslahi ya wangi zaidi ya yaye kupata.

Karne hii ni fedheha sana kuwa na Kiongozi wa Chama Mhuni na mlevi wa Pombe,fedha, madaraka na wanawake . Huyu MTU anatia kinyaa kabisa kuendeleo kukaa na watu wanaojitambua kwenye Chama.
MTU akibaki Chadema sio kwa sababu ya kumkubali Mbowe Bali ni njia ya kujitafutia fursa tu na wakishafika bei wanashika pesa zao wanakimbilia Kwenye chama cha siasa sio kubaki kwenye NGO ya Mtu mmoja.

Mbowe afukuzwe ndani ya Chadema hata kwa kuchapwa bakora amefanya uhuni mkubwa sana wa kuua chama kwa maslahi ya makundi ndani ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…