Kama ni maamuzi yake binafsi hakuna anaepinga hilo, ndio maana wengi humu wanamtaka aende; lakini kama ni maamuzi ya kusukumwa yanayosababishwa na ahadi ya kupewa hiki na kile, hayo sioni sababu ya kuheshimu, tukifanya hivyo tutakuwa tunaandaa taifa la vijana wachumia tumbo na wabinafsi.TUJIFUNZE KUKUBALI NA KUHESHIMU MAAMUZI YA WENGINE NA HUO NDIO UKOMAVU WA AKILI NA HISIA!
Duhhh kaisha kisiasa,labda Kama Ni kuomba wambebe but kwa siasa za sasa Hana impact,naona anachora chora mezani macho chini Kama Nini vileeee anapigishwa sound avae peteTaarifa za chini ya Carpet Nassari atajiunga CCM leo.
Ikumbukwe Nassari alitumia style tofauti ya kuunga mkono juhudi.
View attachment 1498762
Rustic Furniture ni ghali kuliko hizo mbao zenu zilizopigwa msasa.Meza hiyo chafu kama za wauza samaki wa ferry
Sisi: sasa tukamwambie nini mzee baba?Taarifa za chini ya Carpet Nassari atajiunga CCM leo.
Ikumbukwe Nassari alitumia style tofauti ya kuunga mkono juhudi.
View attachment 1498762
Ni demokrasia ambayo kina nyalandu, lowassa waliitumia ila inaonekana tofauti inapokuwa kinyume chakeSasa cha ajabu ni nini hapa mtu wa chama kimoja kwenda chama kingine kuna shida gani.
Kila la heri aende tu Historia itamhukumu watoto wake wataisoma na kujua walikuwa na baba wa aina ganiTaarifa za chini ya Carpet Nassari atajiunga CCM leo.
Ikumbukwe Nassari alitumia style tofauti ya kuunga mkono juhudi.
View attachment 1498762
Huyo alikuwa MCC tangu zamani.....Mbona kama hapo Anatia huruma
Utafikiri anabembeleza Kazi
Ova
Taarifa za chini ya Carpet Nassari atajiunga CCM leo.
Ikumbukwe Nassari alitumia style tofauti ya kuunga mkono juhudi.
View attachment 1498762
haha..chadema haijafanya chochote kwa jimbo alilokuepo huyu, sasa yeye ni msomi na smart na mpenda maendeleo pengine aliyataka maendeleo ila alikua anakwamishwa na viongoz wake , sasa ameona ya nini kukaa kwenye chama kisichojitambua,Aende tu kama ni kweli, Chadema hakiwezi kosa mtu mwingine sahihi wa kurudisha hilo jimbo.
Wauza samaki wa ferry sio watu sio?Meza hiyo chafu kama za wauza samaki wa ferry
Kwani wewe hupendi donge nono likikujia acheni unafiki basi ..au hupendi kula ukisikia njaaLet him go! Amejiuliza, anakwenda CCM kupata nini? Ubunge? Kama amepata donge nono nadhani kwa vile hana ajira, wacha atulize njaa!