Je, naruhusiwa kumuua Mchawi?

Je, naruhusiwa kumuua Mchawi?

Ulaya waliwaua wachawi wote walikuwa wanarudisha nyuma maendeleo
 
Mtu yupo JF home of great thinkers anaamini story za kusadikika za ushirikina. Watanganyika bado tuna safari ndefu. Serikali ianzishe kodi ya uzwazwa na huyu mleta uzi awe wa kwanza kulipia.
Na wewe uliye kuja kucoment kwenye unacho amini ni uzwazwa uta lipia kodi hiyo kama mtu wa pili..

Kama mm nina safari ndefu wewe una safari fupi kwa kuto kuachana na post za uzwazwa nakuja kucomment uzwazwa zaidi.
 
Kabisa kaka.. yaan tume msii Mungu kwa maombi yote kwamba kama ana mpenda sana mtu huyu basi amzuie asitumalize lakini wapi.. tuka msihi mungu atuondolee mtu huyu kwa amani.. wapi.. ndio kwanza nikam tuna jiongelesha wenyewe hakuna cha Mungu kujibu wala badiliko hali ndio mbaya zaidi
Kama itawezekana mtenge uishi mbali nae na asipate kujua habari zako kwa namna yoyote ile.
 
mchawi asipokufa atawamaliza ukoo wote,wewe muombe Mungu akupiganie hiyo vita maana usipofanya hivyo utamalizwa nawewe pia,kumbuka wachawi wananguvu sana wanaua mpaka wachungaji na mashekhe
 
mchawi asipokufa atawamaliza ukoo wote,wewe muombe Mungu akupiganie hiyo vita maana usipofanya hivyo utamalizwa nawewe pia,kumbuka wachawi wananguvu sana wanaua mpaka wachungaji na mashekhe
Yaan kaka tumepigania kwa Mungu tangu 1987 ila ukiona alicho fanyia ndugu zangu na mpaka baba kauliwa.. baba wakubwa wame uliwa.. ndugu wamekuwa mazezeta si zeta vichaa si vichaa .. sasa niambie kama tume lia kwa mungu na kusali kwa miaka 35 hakuna majibu .. tunatakiwa tufanye nini tena.. na huku tuna umizwa hatufanyi kitu tukishika hela zinakata ukitak kufanya chochote hufiki mwisho .. watu hawazai wakipimwa hospitali hawana tatizo lolote.. je mtu huyu ..ni mpaka tuishe wote ndio Mungu aonekane??
 
Habarini wanajamii forum!

Kwenye Biblia imeandikwa "Usimwache Mwanamke Mchawi aishi" Kutoka 22:18.

Kwenye Familia yetu na ukoo wetu amekuwepo mwanamke mchawi na lipo wazi maana ameshakanywa sana na huwa anajitetea kuacha, ila baada ya muda anarudia na ni mtu hatari sana anasababisha majanga sana kwa ndugu na ameua ukoo unaisha sasa na kuna ushaidi maana kuna nguvu ya maombi zili mnasa akitiwa wazee akabanwa akakiri ila kila mara amekuwa akirudia.

Madhara mengine kibao kwenye familia watu wakienda kwenye maombi wanaanguka na miroho inapanda inasema huyo mama kaya tuma kumfanya mtu asizae, mwingine miroho inapanda inamtaja huyo mama kauwa watu kadha wakadha kwenye ukoo, na kweli watu hao hawapo walikufa kimzingara.. kafunga ajira za watu, kawafanya wengine vichaa.. yaan shida tupu.. je tunafanyaje??

Najiuliza je niki muondoa kwa mstari huo wa biblia nitakuwa nina kosa lolote kwa Mungu??
Watu nane wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida kwa kudaiwa kusababisha kuchomwa moto hadi kufa wazee watatu kwa madai kuwa wazee hao wanajihusisha na imani za kishirikina wilayani Iramba. https://t.co/ybpmMywx7Z
 
Bro .. acha tu.. usilogwe ukazaliwa kwenye familia yenye mchawi.. nishida sana.. kila mtu anarudishwa nyuma
Hawataki ufanikiwe wakiumwa wanakupigia Simu un*gese kabisa yani murdercase soon will be inevitable for the sake of the generation
 
Akili za kwenye mitandao bwana kila mtu anakwambia MUUE! ww muue alafu ukafungwe baada ya kuingia jela utakutana na nyapara atakulegeza kwa kazi nzito nzito mwisho wa cku utaombwa rushwa ya jicho la tatu hao wanaokwambia muue watakua uraiani wanakula double kick
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom