Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Yote heri kuhonga si lazima ila muhimu ni kusaidiana katika matatizo
 
Habari wakuu,
Eti mwanaume anaehonga ndie mwanaume rijali kwa kuwa ana sifa ya kutafuta na kutumia? Eti mwanaume anaehonga ndio mwanaume anaekonga nyoyo za kidada na kina mama kwa sana?

Je mwanaume asipohonga amepungukiwa kitu? wakuu tujadili ili tuelimishane ili kama vp na mimi nianze kuhonga.

Daaa! kwel huna mada nyingine mana iyo daaaa...!
 
Mi wananiita kimwaga kwa jinc ninavyohonga ndo maana ndo maana napewa majina mengi tu ya kusifiwa na nikitongoza huwa ckoc kwa hiyo anza tu kuhonga

Tutajie baadhi ya majina. Je lile alilopewa mtani wangu mmoja humu la Mzibua Choo limo?
 
Ukiwa kimwaagae unaitwa -----. ukibana matumizi unaitwa mkono wa birika. Anaejua mapenzi hawezi kunilaumu. mimi kukupa nilicho nacho ni kwa kua nakupenda.

Ni vema, sio wote wanaotoa walivyonavyo kwa watu wao ni kwasababu wanawapenda, wengine wanataka ishu zao binafsi
 
imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu au operation.
 
imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu au operation.

umeona eeh!asa bila pesa nini maana ya uanamme?anaemmwagiw mwenziwe
mqji meupe ndo anatake risks ya kutoa haaa...!mwanaume pesa sura ntavumilia!
 
tuwaulize nyie sisi kazi yetu ni kuchukua tyu
 
Back
Top Bottom