Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Nasikia kina dada anaenda kwa waganga ili wapewe dawa za kuwawezesha kuhongwa? Na wakitumia dawa hizo wanahongwa kweli kweli, mtu unatoa hola na bado hupewi kitu!!

mmmmnh tatizo hulali na hela weye
 
Nasikia kina dada anaenda kwa waganga ili wapewe dawa za kuwawezesha kuhongwa? Na wakitumia dawa hizo wanahongwa kweli kweli, mtu unatoa hola na bado hupewi kitu!!

hahahahaha mi sijasikia hio
 
Jf samahani sana msinitoe kwenye uhondo. Ngoja niangalie mechi maana kali sana
 
Habari wakuu,
Eti mwanaume anaehonga ndie mwanaume rijali kwa kuwa ana sifa ya kutafuta na kutumia? Eti mwanaume anaehonga ndio mwanaume anaekonga nyoyo za kidada na kina mama kwa sana?

Je mwanaume asipohonga amepungukiwa kitu? wakuu tujadili ili tuelimishane ili kama vp na mimi nianze kuhonga.

sifa za kijinga mimi nshaamua kua staff kama jogoo naparamia tu na kuondoka
 
kuhonga ni sawa na rushwa!!!
wapo wanaoiabudu na wanaoipinga vikali!!!!
 
Back
Top Bottom