Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Je, Mwanaume bila kuhonga hajakamilika?

Kupendwa kwa kuhonga sio kupendwa na kutapelewa,kuibiwa na kupendwa kwa vitu vyako ,pesa zako na Mali zako SIO WEWE!Kitu cha kwanza cha kuangalia ktk qualifications ni hicho.Simtaki hata bureeee....
 
Inategemea NTU na NTU boss sio wote wanapenda kuhongwa
 
Aisee..mapenzi pesa! lara 1 njoo umjibu huku
 
Last edited by a moderator:
Mkuu vigezo ni vipi? kwa sababu siku hizi wanawake wanataka mashindano sana, yaani saluni na kucha tu kwa wiki laki moja. kila wiki anataka nguo mpya na viatu vyake sometimes na kamkoba, usipofanya hayo unakuwa njia panda mkuu, au wewe una mbinu ya ziada?

Kupendwa kwa kuhonga sio
kupendwa na kutapelewa,kuibiwa na kupendwa kwa vitu vyako ,pesa zako na
Mali zako SIO WEWE!Kitu cha kwanza cha kuangalia ktk qualifications ni
hicho.Simtaki hata bureeee....
 
Kuhonga ni kamtindo tu kako kwenye fashion za watu kadhaa,na wengine huiga hivyo.

Inategemea na unayemuhonga...kwa mke huiti kuhonga...kwa dada-poa ni jina tu limegeuzwa, zamani waliita ''kuchunwa'' siku hizi imekuwa ''kuhonga'' n.k hivyo baada ya muda yatakuja majina mengi na urijali wako uko pale plae kama zamani.
 
Mkuu nasikia kila mtu anahonga kutokana na uwezo wake?

Kuhonga ni kamtindo
tu kako kwenye fashion za watu kadhaa,na wengine huiga hivyo.

Inategemea na unayemuhonga...kwa mke huiti kuhonga...kwa dada-poa ni
jina tu limegeuzwa, zamani waliita ''kuchunwa'' siku hizi imekuwa
''kuhonga'' n.k hivyo baada ya muda yatakuja majina mengi na urijali
wako uko pale plae kama zamani.
 
Kuhongwa Si wanawake tu hata wanaume wanahongwa,refer to wajumbe bunge la katiba ilidaiwa kuhongwa wali na vinywaji.
 
kutoa pesa au kitu chochote cha thamani kwa umpendaye bila kuombwa

Najua wajua ila ni zaidi ya ujuavyo.Unaweza kuhonga hata kama mtu hupendi ili mradi tu unasafisha njia akupe kila unachokitaka toka kwake.
 
Najua wajua ila ni zaidi ya ujuavyo.Unaweza kuhonga hata kama mtu hupendi ili mradi tu unasafisha njia akupe kila unachokitaka toka kwake.

yap unajuaje hata mpokeaji anamendea hicho unachomhonga na upendo kwako hana
 
Back
Top Bottom